Je, huyu mwanaume ana malengo?

Amuoe huyo huyo.Au amuache
 
Kama rafiki ako yupo vzr kiuchumi basi amwezeshe uyo mwamba mchongo au connection ya kazi km amesoma ninachokiona hapa uenda mwamba bado uchumi haujakaa sawa tupo vijana wengi mtaani tunapitia hali kama ya uyo mwamba
 
Wakati sie tunaambulia vibuti tuu huku pm kutoka kwa warembo wa JF. Ila huyu mrembo atakuwa desparate sana na ndoa....i suspect demu hana tako🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pole mwaya ........ insha'Allah utapata mume..........sijui rafiki yangu sijui nini........huyo ni wewe mwenyewe.......pm kama uko serious
 
Na utakuta huyo dada kuna majamaa yana future na malengo ya kumuoa kabisa lkn anawachomolea. Mimi sina cha kumshauri, muache apambane na huyo marioo wake apewe mimba akimbiwe aongeze idadi ya single mothers wa kwenda kumchangia mwamposa mjini
 
Bwana niache πŸ˜‚ ana hela.
Hilo ndio la muhimu....huduma unapata na kupanda range rover. Kama nakuona vile kyupi inalowa ukiwa ndani ya range 🀣🀣🀣🀣
 
Wakati sie tunaambulia vibuti tuu huku pm kutoka kwa warembo wa JF. Ila huyu mrembo atakuwa desparate sana na ndoa....i suspect demu hana tako🀣🀣🀣🀣
Naunga mkono hoja,yupo yupo tu na sura ya baba ake ndo maana mshikaji amemtawala hivyo,yaani hata kutongozwa ni mara moja kwa mwaka,tena atakuwa anatongozwa na wazee
 
Angalau hata akikaa hata chini ya mwembe anacho cha kukumbukia ujanani
 
Kwa kifupi unaelewa situations kuliko hata rafiki yako aliyokutuma ila nakushauri kuwa na subira muda utafika mbivu na mbichi zitajulikana
 

Asante kwa ushauri huu mzuri sanaaaa
 

Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…