Je, huyu mwanaume ana malengo?

Jamaa inawezekana kuwa anampenda kweli ila hana ramani kwa sasa. Hujazungumzia jamaa ni graduate au ana mishe gani? Other than that muuni anainjoy economies of scale.

Jamaa amesoma na ana masters ila ni mjasiliamali, ana hela ndogo kuliko mdada, ila anahudumia familia yake vizuri, mamake na dadake hawakosi kodi na kula yeye ndio anasimamia shoo ila kwa demu wake hata kitunguu hajawahi kupeleka ila akienda lazima aulize kumepikwa nini?
 
Sema nini uyo rafiki yako ndo wewe, au basi!
 

Delaying technics hata kumtambulisha kwao basi, bi dada apate moyo
 
Usizunguruke saana, unamsingizia mdada asiyekuwepo, 😂🤣
Kifupi mchizi ni msanii, anakuyeyusha.

Njoo kwangu, ukija kesho Jumatatu asubuhi, mchana naenda kukutambulisha maskani, ukija usiku asubuhi naenda kukutambulisha.

Wewe tu, ila ukija usiku ndio vizuri 😂🤣, ili kesho uamkie kwa mkweo maana anapikaga maandazi matamu saana na chapati zimeenda shule.
 
kuna mchongo naskilizia..........
 
Wakati sie tunaambulia vibuti tuu huku pm kutoka kwa warembo wa jf.
Ila huyu mrembo atakuwa desparate sana na ndoa....i suspect demu hana tako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

My dia, ni mzuri, ana umbo namba nane, alafu natural color, she is good na ana kazi yake nzuri tu
 
My dia, ni mzuri, ana umbo namba nane, alafu natural color, she is good na ana kazi yake nzuri tu
So why she not putting that education to decipher such a simple issue au de libolo la mjama linamchanganya 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Alafu nakwambia huyu itakuwa jamaa anampeleka moto vizuri.
Nothing confuses an educated woman than a jobless man that fvcks her well
Na siraha ni kuwabandua vyema tu hakuna lingine, huyu mleta uzi usikute ni rafiki au ndugu wa uyo mwanamke sasa anamuona jamaa kidampa wakati dadaake anakula raha kubanduliwa vizuri
 
Na siraha ni kuwabandua vyema tu hakuna lingine, huyu mleta uzi usikute ni rafiki au ndugu wa uyo mwanamke sasa anamuona jamaa kidampa wakati dadaake anakula raha kubanduliwa vizuri
Alafu asikwambie mtu hawa wanawake wanakuwaga na wivu sana kama mwenzie anatombwer vizuri huku yeye akiwa anachafuliwa tuu.
Itabidi tukukabidhi huyu mrembo mpelekee moto vizuri ili nae apate tulizo la mbususu yake🤣🤣🤣🤣
 
Kama anafuatiliwa basi na yeye amfuatilie inawezekana jamaa ameshaoa huyo tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…