Princess maryam
Member
- Mar 25, 2021
- 94
- 228
raha sana , papuchi ya bure, unapewa pesa, unalala bureMwanaume huyo anachojua ni kwenda nyumbani kwa mdada kula na kulala
Mmm hapo mdada anapotezewa muda wake, Cha kufanya abadilishe line kwaajili ya mishe zake na kuanza maisha mapya atampata mwanaume mwenye malengo ya kuoaJamani habari zenu,
Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu mmoja amejikuta yupo dilema juu ya haya mahusiano yake.
Amekua kwenye mahusiano na mwanaume kwa miaka miwili sasa. Mwanaume huyo hajawahi kumsaidia kwa chochote wa kumpa chochote huyo mwanamke , hata chokoleti zawadi hajawahi.
Mwanaume huyo anachojua ni kwenda nyumbani kwa mdada kula na kulala na sometimes mdada akisafiri , mwanaume huyo anamuangalizia nyumba na vinginevyo.
Huyo mwanamke ni useless kabisa....wacha mwana aendelee tuu kumkojoleaJamani habari zenu,
Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu mmoja amejikuta yupo dilema juu ya haya mahusiano yake.
Amekua kwenye mahusiano na mwanaume kwa miaka miwili sasa. Mwanaume huyo hajawahi kumsaidia kwa chochote wa kumpa chochote huyo mwanamke , hata chokoleti zawadi hajawahi.
Ndio unaambiwa better to be born lucky than gifted🤣🤣🤣🤣raha sana , papuchi ya bure, unapewa pesa, unalala bure
kula vya mwanamke ni tamu ilioje
what a luckiest son of a b. on the planet
Mwamba bado anasubiria michongo ikae sawa huyo bidada atulie.Jamani habari zenu,
Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu mmoja amejikuta yupo dilema juu ya haya mahusiano yake.
Amekua kwenye mahusiano na mwanaume kwa miaka miwili sasa. Mwanaume huyo hajawahi kumsaidia kwa chochote wa kumpa chochote huyo mwanamke , hata chokoleti zawadi hajawahi.
Mwanaume huyo anachojua ni kwenda nyumbani kwa mdada kula na kulala na sometimes mdada akisafiri , mwanaume huyo anamuangalizia nyumba na vinginevyo.
Jamaa huyo amekua akimdanganya mdada kwa nyamati tofauti tofauti juu ya suala la ndoa ama kutambulishwa kwao, alimdanganya huyo mdada kwamba mwezi wa nne 2022, atamtambulisha na muda ulivofika jamaa akabaki kimyaaaa, baadae akamwambia mwezi wa nane anaona jamaa haongelei lolote kuhusu hilo jambo.
Mdada wa watu amechoka sasa, haelewi kma jamaa anampenda au anamtumia tu. Jamaa hataki story za ndoa akigusiwa ni kama ana panic. Jamaa bado anaishi kwao anavyosema so akija kwa huyu mdada ni kama anajificha ficha. Anawadanganya kwao yupo kazini shifti ya usiku.
Inshort huyo dada haelewi position yake na hajui anamuulizaje zaidi huyo mkaka.
Na mkaka huyo amekua hodari ku hack simu ya mdada na kufatilia msgs na maongezi yote. Incase mdada akichati na mwanaume hata kidogo jamaa anagundua nakuja kumwambia kila kitu.
Anaomba ushaurikwa umri wake umeenda na yeye anataka ndoa na jamaa hamuelewi kabisa. Je hapo kuna mapenzi? Au jamaa anapitisha muda tu?
haha noma sana, jamaa anakula papuchi hatoi hata mia, daaahNdio unaambiwa better to be born lucky than gifted🤣🤣🤣🤣
One lucky mothafucka out there...😂😂😂Ndio unaambiwa better to be born lucky than gifted🤣🤣🤣🤣
Ndio raha ya kupendwa hio huombwi hata mia then you monopolize that piece of cupkake, nobody hits it but you! 😃😃😃haha noma sana, jamaa anakula papuchi hatoi hata mia, daaah
yaani anakula, analala na kugegeda bure, apewe nini kingine
Wakati sie tunaambulia vibuti tuu huku pm kutoka kwa warembo wa JF. Ila huyu mrembo atakuwa desparate sana na ndoa....i suspect demu hana tako🤣🤣🤣🤣haha noma sana, jamaa anakula papuchi hatoi hata mia, daaah
yaani anakula, analala na kugegeda bure, apewe nini kingine
Huyo rafiki yako atakuwa hana tako🤣🤣🤣🤣🤣Jamani habari zenu,
Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu mmoja amejikuta yupo dilema juu ya haya mahusiano yake.
Amekua kwenye mahusiano na mwanaume kwa miaka miwili sasa. Mwanaume huyo hajawahi kumsaidia kwa chochote wa kumpa chochote huyo mwanamke , hata chokoleti zawadi hajawahi.
Mwanaume huyo anachojua ni kwenda nyumbani kwa mdada kula na kulala na sometimes mdada akisafiri , mwanaume huyo anamuangalizia nyumba na vinginevyo.
Jamaa huyo amekua akimdanganya mdada kwa nyamati tofauti tofauti juu ya suala la ndoa ama kutambulishwa kwao, alimdanganya huyo mdada kwamba mwezi wa nne 2022, atamtambulisha na muda ulivofika jamaa akabaki kimyaaaa, baadae akamwambia mwezi wa nane anaona jamaa haongelei lolote kuhusu hilo jambo.
Mdada wa watu amechoka sasa, haelewi kma jamaa anampenda au anamtumia tu. Jamaa hataki story za ndoa akigusiwa ni kama ana panic. Jamaa bado anaishi kwao anavyosema so akija kwa huyu mdada ni kama anajificha ficha. Anawadanganya kwao yupo kazini shifti ya usiku.
Inshort huyo dada haelewi position yake na hajui anamuulizaje zaidi huyo mkaka.
Na mkaka huyo amekua hodari ku hack simu ya mdada na kufatilia msgs na maongezi yote. Incase mdada akichati na mwanaume hata kidogo jamaa anagundua nakuja kumwambia kila kitu.
Anaomba ushaurikwa umri wake umeenda na yeye anataka ndoa na jamaa hamuelewi kabisa. Je hapo kuna mapenzi? Au jamaa anapitisha muda tu?
Kwa kweli, Princess maryam em weka kapichai suspect demu hana tako
Si amuache tu? Hili nalo la kuomba ushauri?Jamani habari zenu,