Kwasasa simu yake haina uwezo wa kuingia jf
Do a see mkuu pole sana kweli inabidi tuwe makin na wanawake tunaowaoa anajua lkn awez kusema anajua akisema kitanuka ila mkazie atasema tu jalibu kumtisha kuwa unamuacha
Ni mbish balaa na nahis ameshajua . alichonifanyia.
Naamini nitafunguliwa na hiki. ..kifungo
Hakika sitaisahau jf
Nilimpata humu jf mwaka Jana mwishon
Do a see mkuu pole sana kweli inabidi tuwe makin na wanawake tunaowaoa anajua lkn awez kusema anajua akisema kitanuka ila mkazie atasema tu jalibu kumtisha kuwa unamuacha
Huyo aliyekushauri kuhusu coca na zanzi usifate ushauri wake utaumia...tatizo lako linatokana na ushirikina au linaweza kuwa la kisaikolojia,lakini si lishe wala maumbile na pia si lakwenda hospital
ukienda tena kuchepuka utanasa
Toba yarabii......!!!Mmh sipend kuzitoa hapa jukwaan isitoshe nilimpatia humu humu jf
Pole sana kuna watu wanaroho mbaya sana mungu katumba tu wazima mtu Kama huyo mwanamke anampinga mungu!!! Sali sana mungu akutoe kwenye hicho kifungo
pole sana hebu jaribu kumuuliza hayo mavuzi yako anayoyaweka kwenye rambo huwa anayafanyia kazi gan
Nahis hivo ila nitaishije Mimi iwapo itatokea hivo
HAKIKA SITAISAHAU JF
kwan nilimpatia humu
Haijalishi ulimpatia JF au kwingine.
Halafu,umeanzisha uzi unaomba ushauri huku ukijua naye ni m-JF?
Mtazamo wangu:
Faida: Kama yeye hachepuki, hiyo imekaa vizuri. Ni wewe na yeye tu "for life".
Hasara:Wewe amekuwekea "hand-break" ila kama yeye anateleza kwa mabuzi, hakika unahasara maradufu.
Mwisho: Kila kitu hutokea kwa sababu.
Umejifunza na wengine watajifunza kupitia kwako...
Sawa usemayo
Ila kwasasa yy haingii jf anatumia simu yakawaida
Ndio maana. Nikapata ujasiri wa kuja kuomba ushauri
By the way naiman nitatoka kifungoni
Unaamini hivyo kwamba haingii JF?
Kwani hawezi kuingia JF kwa namna nyingine zaidi ya simu hiyo, mfano akienda "internetcafe", simu ya rafiki yenye
"internet" wa kutaja machache?
Hata hivyo, nakutakia kupona salama, ila si kwa lengo la kuchepuka...
Sio mjuz sana wa internet cafe...kwan hata jf alinipata kwa kuperuz bila a/c ...Mimi ndio nilimfungulia a/c jf ...kwan hata akitaka kuingia jf namsaidia Mimi
Naiman nitarejea salama ...na sitachepuka
Mkuu, Unless you are not serious then your post is meant to be a teaser and, sounds like a paradox. Why? Ulimpata JF. Wakati huo
huo wewe ndiye uliyemsaidia kujiunga JF?
Anyway, nakutakia salama na kama hutochepuka, kipi sasa kimepungua wakati kwa huyo nguvu zako ziko kama kawaida?
Saikolojia yako kuwa amekichezea ndo inakumaliza.Mmh kaka nahis kitu .
Amekuwa akininyoa mavuzi
Hata juzi kafanya hivo na huyatia katika Rambo ..
Unanifungua akili sasa