Je Huyu bado yupo kwenye Bunge la 2011-2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Huyu bado yupo kwenye Bunge la 2011-2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by geophysics, Dec 28, 2010.

 1. g

  geophysics JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
  Samahani wana JF naombeni kuuliza.
  Hivi mzee Kingunge Ngombale Mwiru bado yupo katika Bunge la 2011-2015.
  Nifahamisheni mwenzenu maana sina uhakika kama kaendelea kuwepo au la ingawa kusema kweli nadhani angetakiwa kupumzika kwa sababu sikuwahi ona mchango wake katika Bunge.
  Asanteni
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 9,207
  Likes Received: 4,102
  Trophy Points: 280
  Hahusiki kabisaa.....wakati ule aliteuliwa na JK kuwa mbunge na waziri.....sasa...alishaomba kupumzikaaa..sio tena Mbunge
   
 3. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,551
  Likes Received: 1,162
  Trophy Points: 280
  Anakula matunda tya fedha ya kifisadi aliyopta ubungo terminal,na ile ya mradi wa kupaki magari jijini Dar
   
 4. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,556
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Aah saivi anakula bata tuu, pia Tanzania Parking Solution(TPS) anajipatia mabilion taratiiibu
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Tabasamu la mwizi mzoefu.
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,071
  Likes Received: 1,526
  Trophy Points: 280
  Wapika majungu ccm!!
   
 7. V

  Victor malisa Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hausiki kabisa ila kwa kuwa nae ni mchakachuaji mwenzao lazima waendelee kumlinda kwa kumpa vikofia na viti vya kufoji ili mradi tu waendelee kutuibia.Ameshazeeka huyo hana jipya
   
 8. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ni mtakatifu wa ccm, wala hagusiki huko. Atakalolisema ndio amri baada ya Kawawa
   
Loading...