Je, huyu anafaa kuolewa

pole sana bro ila kosa kubwa hapo ni kwamba huyo tayari ni mwanafunzi wa chuo tena Dodoma ambapo mji unaokua

pili mna mahusiano ya mbali halafu isitoshe chuo kuna interactions na watu wengi tofauti huwezi jua tayari keshapata linjemba ambalo kinampenda au tayari huyo msichana kafall kwa linjemba ndo maan analeta vitimbi..

ushauri wangu ni kwamba jaribu kwenda kuonana nae na kukaa nae kuzu8kwa kina ukiona hayupo uelekeo wako basi achana nae mbona hata kenya kuna warembo teba wakali tu.

tafuta pesa bro asikuendeshe wapo wengi hao.
 
Nimekusoma mkuu. Asante sana
 
Bro huna tofaut na alshabab maana inaelekea kwa huyu mtoto ulijilipua vyakutosha savings zako zote mpaka ukimfikiria kichwa kinauma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…