Je, huyu alifanya sahihi?

Je, huyu alifanya sahihi?

Wewe subiri na uone. Ungekuwa ni mume wangu ukioa tuu unakuwa umenihalilishia kuchepuka.
Utaonekana kilaza usiye faa hata kupigiwa mfano, yaani unakuwa kicheche kisa nimeoa mke mwingine, kwanza nikijua ujue ndiyo talaka yako, ili ukakigawe vizuri.
Unadhani wanawake wote ndani ya ndoa huwa wanaridhika kimapenzi na wanaume wao?
Hawaridhiki ila tunaishi na kauli mbiu ya kuwa "Sema naye usione soo"(Kitambo sana hii kauli, bila shaka unaikumbuka). Hakuna aloye zaliwa anajua ukiona sikuridhishi weee sema na mimi tu, nirekebishe nilipokosea au ninapo kosea kisha nifanye juhudi nikuridhishe.
Huwa mnajidanganya mwanaume hawezi kukaa muda bila kufanya mapenzi mkidhani mwanamke ndiye awezaye.
Mwanamke anaweza kuhimili kuzidi sisi, ila sote tunawajibika kujizuia.
Mtachapiwa hadi akili ziwakae sawa.
Hili mwenzake Talaka. Sisi wengine ukitoka kutafunwa tunajua tu, nakwambia rudi ulipo toka, kesho nakuletea vilivyo vyako nakuja kukukabidhi kwa mdau.
Niteseke kuishi maisha ya kutokuridhika kisa nini?
Hili dogo sana, wewe unachotakiwa ni kusema na mimi tu.
Yaani nivumilie kukaa siku tatu sijafanya wewe unabanjuka kwa bimdogo huko?
Hakuna mwanke asiye weza kuvumilia ndani ya siku tatu au zaidi ya hapo, wewe utakuwa unafanya Hila, ila kitakacho umia kiungo chako mwenyewe.
Nakigawa nipate raha.
Kigawe tu si chako.
 
Wewe subiri na uone. Ungekuwa ni mume wangu ukioa tuu unakuwa umenihalilishia kuchepuka.
Unadhani wanawake wote ndani ya ndoa huwa wanaridhika kimapenzi na wanaume wao? Huwa mnajidanganya mwanaume hawezi kukaa muda bila kufanya mapenzi mkidhani mwanamke ndiye awezaye.
Mtachapiwa hadi akili ziwakae sawa. Niteseke kuishi maisha ya kutokuridhika kisa nini? Yaani nivumilie kukaa siku tatu sijafanya wewe unabanjuka kwa bimdogo huko?
Nakigawa nipate raha.
Umeamua uwapazie sauti wanawake wenzio wanaojiminya minya.

Hivi huwa ni kuchapiwa au wewe ndo unachapwa! Unajua hata Kama unafuata kuridhishwa ila huyo huyo anayekuchapa ndo wa Kwanza kukudharau! Wanaume tukichapa wake za watu sijui huwa tunawaonaje yaani
 
Katika kushindana na sisi wanaume nyie ndo mnajikuta mnaingia kwenye hasara
 
Unaweza kunipa hasara mbili?
Usiseme kwamba naumiza mwili wangu kwa sababu like tendo ni starehe na utamu. Nipe hasara nyingine.
 
Umeamua uwapazie sauti wanawake wenzio wanaojiminya minya.

Hivi huwa ni kuchapiwa au wewe ndo unachapwa! Unajua hata Kama unafuata kuridhishwa ila huyo huyo anayekuchapa ndo wa Kwanza kukudharau! Wanaume tukichapa wake za watu sijui huwa tunawaonaje yaani
Sijali atanionaje ila utamu nimepata.
Na ukileta kiburi utalea na mtoto siyo wako.
Wewe jidai unajua kuoa wanawake wawili utajuta.
Na siku ukilala kwangu Bimdogo anapeleka kwa Ex wake ambaye walipendana sana lakini dini ndiyo ilikuwa sababu yakutokuoana.

Haya leta povu jingine.
 
Utaonekana kilaza usiye faa hata kupigiwa mfano, yaani unakuwa kicheche kisa nimeoa mke mwingine, kwanza nikijua ujue ndiyo talaka yako, ili ukakigawe vizuri.

Hawaridhiki ila tunaishi na kauli mbiu ya kuwa "Sema naye usione soo"(Kitambo sana hii kauli, bila shaka unaikumbuka). Hakuna aloye zaliwa anajua ukiona sikuridhishi weee sema na mimi tu, nirekebishe nilipokosea au ninapo kosea kisha nifanye juhudi nikuridhishe.

Mwanamke anaweza kuhimili kuzidi sisi, ila sote tunawajibika kujizuia.

Hili mwenzake Talaka. Sisi wengine ukitoka kutafunwa tunajua tu, nakwambia rudi ulipo toka, kesho nakuletea vilivyo vyako nakuja kukukabidhi kwa mdau.

Hili dogo sana, wewe unachotakiwa ni kusema na mimi tu.

Hakuna mwanke asiye weza kuvumilia ndani ya siku tatu au zaidi ya hapo, wewe utakuwa unafanya Hila, ila kitakacho umia kiungo chako mwenyewe.

Kigawe tu si chako.
Kuridhika kwangu ni kila Siku ulale pembeni yangu. Utalitatuaje hili huku unawaza ukalale kwa bimdogo?
 
Hii siyo sawa wala siyo kweli, sisi wanaume tumeumbwa kutafuta, tunasafiri kuna mambo ya kidharura, hatuwezi kulala kila siku na wake zetu, na hili linaongeleka. Unachotakiwa usiwe mbinafsi japo kuna suala la wivu ila hili mwisho wa siku linazoeleka na utaanza kuhimiza tu ujaliwe na utunzwe, hii ndiyo hali halisi ilivyo.

Hizi vurugu huwa mwanzo tu, ila uzuri kuna kuzoea.
 
Ukiwa umesafiri kutafuta inaeleweka.
Lakini umewahi kufikiria ni hisia gani ninapata pale ninapojua upo unamgegeda mtu mwingine wakati huo mimi nipo mwenyewe kitandani? Kama ni utamu tupate wote. Na kama ni kuvumilia bila kufanya tuvumilie wote.
 
Sijali atanionaje ila utamu nimepata.
Na ukileta kiburi utalea na mtoto siyo wako.
Wewe jidai unajua kuoa wanawake wawili utajuta.
Na siku ukilala kwangu Bimdogo anapeleka kwa Ex wake ambaye walipendana sana lakini dini ndiyo ilikuwa sababu yakutokuoana.

Haya leta povu jingine.
Sio povu bi mdada! Uhalisia ni kwamba, kweli kabisa utaenda, utafanya, utapata utamu tena huenda ukaenjoy zaidi kuliko unapokuwa na mmeo.

Lakini mwisho wa siku nafsi yako itateseka tu.

Hakuna mwanamke anafurahia kufanya ufuska hilo tukubaliane kabisa, hata wale wanaojipanga barabarani hawapendi! Sasa tafsiri ya kufanya usichokipenda kuna muda ukikaa mwenyewe nafsi inakusuta na taratibu unaanza kujichukia

Wewe kila siku kiguu na njia kwa wanaume wengine kuwavulia chupi wakati una mume unafikiri psychologia yako itasalimika? Mwanzo utaona sawa, ila kadiri muda unavyoenda hicho kitendo kitakukera tu
 
Ndiyo maana nasema hivi maumivu huwa yapo mwanzo ila baada ya muda yanaisha hasa ukijua ninaye fanya naye jimai naye pia ni mke wangu ambaye wewe ni mke mwenzako.

Labda niwe sina uwezo ndiyo tutavumilia wote, ila kama uwezo upo, tutavumiliana kwa namna nyingine kwamba wewe utavumilia kwa kupata mwenzako, na mimi nitavumilia hila zako ila si za kutoka nje. Sababu wanawake mna hila na visa ajabu.
 
Sio povu bi mdada! Uhalisia ni kwamba, kweli kabisa utaenda, utafanya, utapata utamu tena huenda ukaenjoy zaidi kuliko unapokuwa na mmeo.

Lakini mwisho wa siku nafsi yako itateseka tu.

Hakuna mwanamke anafurahia kufanya ufuska hilo tukubaliane kabisa, hata wale wanaojipanga barabarani hawapendi! Sasa tafsiri ya kufanya usichokipenda kuna muda ukikaa mwenyewe nafsi inakusuta na taratibu unaanza kujichukia

Wewe kila siku kiguu na njia kwa wanaume wengine kuwavulia chupi wakati una mume unafikiri psychologia yako itasalimika? Mwanzo utaona sawa, ila kadiri muda unavyoenda hicho kitendo kitakukera tu
Usijidanganye.
Hamna kitu roho kukusuta. Roho huwa inasuta pale mwanaume ametulia hana mwanamke mwingine lakini wewe una mchepuko.
Ukikaa unawaza "lakini kwanini namfanyia haya mume wangu wakati yeye katulia na Mimi"?
Lakini mwanaume anajidai anajua kugegeda sana kila siku anaongeza namba za wanawake. Hakii roho haisuti hata kidogo. Yaani walaaaaaa.
 
Wewe wasema.
Hivyo ndivyo mlivyoaminishwa.
Nitampelekea vizuri sana. Hata nikikigawa si ni changu? Unadhani wewe ndio uko na haki ya kuonja ladha tofauti tofauti?
Embu acha hizi mambo nitakuchapa ujue😀
 
Kwa afya ya ndoa hiyo si nzuri. Mtakuja kujikuta mnafarakana, utaamua kesi ngapi mkuu. Simu zina mengi.
Ni kweli, na hali ya yeye kuchukia imekuwa ikitokea mara kadhaa, simu yangu anajua password ya lock screen. Nimewaza nifungie baadhi ya apps asiweze kuziona +notifications. Kimsingi huwa naweka password kwa lengo la privacy yangu, hasa ikitokea imepotea.
 
Sijali atanionaje ila utamu nimepata.
Na ukileta kiburi utalea na mtoto siyo wako.
Wewe jidai unajua kuoa wanawake wawili utajuta.
Na siku ukilala kwangu Bimdogo anapeleka kwa Ex wake ambaye walipendana sana lakini dini ndiyo ilikuwa sababu yakutokuoana.

Haya leta povu jingine.
Wewe dawa yako ningekuwa na wewe, sioi mke wa pili, unaonekana hauna tabia ya kucheat ila una visasi hasa ukigundua mwenzi anacheat . Ninakuwa na wewe tu, tunakulana mambo hadi basi.
 
Usipooa mke wa pili hapo burudani.
Nitakuwa nakupa hadi ile staili ya kuingiza kichwa uvunguni, na ile ya napanda kwa dirishani nafanya kama naidondokea.😂😂😂
Nakuahidi nitakuwa mbunifu kuhakikisha hautajutia kutokuoa mke wa pili.
 
Labda niwe sina uwezo ndiyo tutavumilia wote, ila kama uwezo upo, tutavumiliana kwa namna nyingine kwamba wewe utavumilia kwa kupata mwenzako, na mimi nitavumilia hila zako ila si za kutoka nje. Sababu wanawake mna hila na visa ajabu.
Usinipangie utakachonivumilia. Yaani hapo utavumilia hila na visa vya ajabu na kushare papuchi na ex wangu.
Tena siku hizi tunaangalia, tunagawa kwa mwenye uume sawa na wako au mwembamba kuliko wako. Tukirudi nyumbani tukioga vizuri kamwe hauwezi kujua.😂😂😂
 
Usipooa mke wa pili hapo burudani.
Nitakuwa nakupa hadi ile staili ya kuingiza kichwa uvunguni, na ile ya napanda kwa dirishani nafanya kama naidondokea.
Nakuahidi nitakuwa mbunifu kuhakikisha hautajutia kutokuoa mke wa pili.
Wewe sina haja ya kukucheat,
 
Back
Top Bottom