Kupekua sio mpaka uwe umeficha kitu au jambo fulani.
Ngoja nikupe mfano wa kupekua yaani kuchunguzana, unakuta mkeoana uhuru na simu yako, ila anachofanya yeye anataka kujua kila kitu unachofanya, sasa hili tatizo hata kama akiwa na uhuru huo inabidi awe na mipaka, unakuta mwanamke ana wivu kupika kiasi, mpaka analuhatibia baadhi ya "deal" zako mzee mzima, unakuta usha mkanya hakomi, unafikiri kinachofata ni nini ? Unampa likizo ya kujitafakari kwanza kisha akikaa sawa unamrudishwa, kwani kumrudisha mwaname kwao hakuna maana ya kuwa umemuacha, bali unampa fundisho kwanza.