Mara nyingi tunasikia wanasema kaa mbali na simu ya mpenzi/mwenza/mwanandoa wako kama unataka mdumu kwenye mahusiano
Pia sheria ya mtandao ya mwaka 2015 inamtaka kila mtumiaji wa social media kuweka password kwenye kifaa chake(simu au computer) anayotumia na endepo akakutwa na hatia na ikagundulika hakuweka password kwenye kifaa chake adhabu ya million kadhaa au kifungo kuanzia miaka miwiwli kinamuhusu
Huyu jamaa wa uarabuni aliamua kujiongeza, je alikuwa sahihi?
Soma kiambatisho hapa chini