Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 482
- 969
Hii lazima umeitolea wapi? Philemon Luhanjo alikuwa balozi wa wapi??Katibu mkuu ni lazima awe na hadhi ya kidiplomasia, akiwa kama msimamizi mkuu wa watumishi wote wa serikali.
Tangu lin!Ni lazima awe balozi maana ndo mkuu wa mabalozi wote na makatibu wakuu.
Nilipata wazo kama lako. Anajaribishwa tu.Huyo anapitishwa tu hapo si mnajua hakuna kama Kijazihivyo huyo muhaya ni temporary nasema uongo ndugu zangu
Naam umenenaMartin Lumbanga wakati wa Mkapa, na Philemon Luhanjo wakati wa Jk hawakuwa Mabalozi
Ombeni Sefue na Kijazi ndio Mabalozi
Sio Lazima awe Balozi, nadhan kuna nafasi ya Kisiasa anaandaliwa baadae
Ndo akili za MATAGA zinavyokuwa yaani.... wanaonaga kila kitu sawa tu..Tangu lin!
Aliye waroga kafaNdo akili za MATAGA zinavyokuwa yaani.... wanaonaga kila kitu sawa tu..
Siyo Kweli; Timothy Opiyo hakuwa Balozi, lakini nadhani ni kati ya makatibu wakuu waliokuwa wanaheshimiwa na kuogopwa sana; mwulize mzee Msekwa stori ile!Katibu mkuu ni lazima awe na hadhi ya kidiplomasia, akiwa kama msimamizi mkuu wa watumishi wote wa serikali.
Timothy Apiyo sio Opiyo hakuheshimika Ila aliogopewa. Ndio maana alivyostaafu walimtupilia mbali mshenzi yule. Aliwatenda watu sana alipokua anaongoza SCOPO. (Standing committee on parastal organizations)Siyo Kweli; Timothy Opiyo hakuwa Balozi, lakini nadhani ni kati ya makatibu wakuu waliokuwa wanaheshimiwa na kuogopwa sana; mwulize mzee Msekwa stori ile!
Ukiheshimika utatunzwa hata baada ya utumishi wako, nje ya hapo ni kusaga meno wakati wako upitapoTimothy Apiyo sio Opiyo hakuheshimika Ila aliogopewa. Ndio maana alivyostaafu walimtupilia mbali mshenzi yule. Aliwatenda watu sana alipokua anaongoza SCOPO. (Standing committee on parastal organizations)