Je, huu sio ubakaji wa kwenye ndoa?

Tabia ya kununa sio nzuri, kwanza unazuia mibaraka!
Amekosea, ameondoka bila kuomba msamaha, we msamehe yapite. Mwezio karudi jioni keshasahau anasalimia kama kawaida!

Na la zaidi, kumnyima unyumba sio adhabu, ni kubomoa nyumba yako ukiwa unaona!

Ni kweli

Ila jamaa hio violence action yake ndio imeniacha hoi
 
1. Inaonekana ndio mchezo wako unafanya uchoyo kama silaha ya kumkomoa mwenzio kila mnapotofautiana

2. Ulivyovaa Chupi ulituma message kwa Mwenzio kwamba uko tayari kuendelea na bifu lililotokea. Badala ya kutumia Kitanda kama ukumbi wa Kutafuta amani wewe umetumia kitanda kama uwanja wa kupalilia vita.

3. Hukujiuliza matoke ya kitendo chako kuna Wanaume wengine akiona kuna bifu home akitoka kazini anaenda kupiga mitungi, au anapita nyumba ndogo, au mwingine kama jamaa alivyotaja hapo juu anavuta laptop anaingia www.video.xxx anamaliza haja zake anatafuta usingizi
Hivi ukienda mahakamani/Serikalini unamkomoa nani ? Unafikiri kutakuwa na ndoa hapo ?

4. Kuna uwezekano Mkubwa hujui udhaifu wq mumeo ana udhaifu ni domo zege kwa kawaida kama baadhi mlivyo comment huko juu kwamba Mwanamke anadanganywa na vitu vidogo sana. Angeweza ktk muda mfupi kukurairai na jioni akala mzigo bila ugomvi. Kitendo cha mumeo kukupiga roba ni udhaifu mkubwa sana ambao wewe umeutumia vibaya. Ulipaswa kuujua udhaifu wa mumeo na kumfanya mumeo akuombe radhi bila kununa

Mungu ndiye Mjuzi
 
Amemlipia mahari?? Tuanzie hapo kwanza. Pili, ndoa yao ina siku mbili? Usijekuta ni wazee wesha chokana sasa halafu unatuletea hapa JF hadithi. Haya mambo ya kubakana yamekuja tu juzi baada ya msemo wa; Haki sawa kwa wote. Mwanamke mwenye staha zake aliyelipiwa mahari, huwa habakwi.
Kama ilivyo; Huwezi pakulia watoto chakula kabla hujampakulia mumeo chakula kingi na cha kuzidi wengine, vivyo hivyo huwezi lala na pichu kitandani kwa mumeo hata siku moja. Huko ni kumdhalilisha mumeo. Inatakiwa akilala mkono wake mmoja ndio ufunike asali yake.
Mnaleta mambo ya siasa hadi ndani ya chumba!! Tabia gani hii?? Hivi akikurudisha pale kwenyu, utamwambia mamako ni nini kimekurudisha nyumbani kwenyu?? Ni aibu mwanamke,ni kumdhalilisha mumeo.
Kama ni kwangu, situmii mkasi bali natumia wembe mpya halafu siingizi ndani ya pichu bali naichanilia mbali juu ya ngozi yako ili uende kushonwa hospitali ili watu waulizane
 
Nikuombe msamaha, afu iwe kila nikikosea sipewi mpaka niombe msamaha.
Hivi kwanini mnapenda kuitumia hii sababu kama kisingizio?? Wewe omba msamaha pale unapokosea yeye akishindwa kukusamehe au akitumia hiyo kama fimbo ya kukuchapia basi ndiyo ufanye kile unachoweza lakini siyo usimuombe msamaha kabisa tatizo mnachukulia mifano ya hao wanawake zenu wajinga wasiojielewa kutuwakilisha wanawake wote!!
 
Back
Top Bottom