Natamani wanaume walio kwenye ndoa walio humu JF waje watoe mawazo yao juu ya ubakaji huu ila nimecheka aiseeeh aahahahahahhaaa looh.
Well maisha yana vituko na vionjo vingi sana kulingana na kila mmoja na jinsi alivyo.
Huyo mke kama ameamua kumwaga mboga anaweza kwenda kufungua kesi mahakamani na sio kwa mwenyekiti wa mtaa na ushahidi wake uwen mkasi, chupi iliyochanwa na shuka. Ikiwezekana kama wana cctv camera chumbani aende nayo, mume atashitakiwa na kuhukumiwa kwa kosa la ubakaji. Kumbuka kubaka hakujasema kama huyu ni mkeo basi una kibali cha kumbaka.
Usione mtu kavaa sarawili yake na tai na koti barabarani ukasema mwanaume si ndo huyu, akiwa faragha ni zaidi ya nyati aahahahahhaa
Usione mwanamke kavaa dera au tite yake ukasema mwanamke si ndo huyu, ukimuweka ndani fulu kununa, kususa, na kubana aahahahahhaa.