Je, huu ni Uvuvi haramu?

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
15,818
23,084
Huku tunapoishi huwa tunakumbwa na mafuriko kila mara. Haya mafuriko yanapopita huacha samaki kwenye madimbwi na makorongo.

Kabla ya ndege hawajajitwalia kutokana na maji kukauka, tunawawahi ili tupate kitoweo na ziada tunauza tupate fedha. Je, huu ni uvuvi wa aina gani?
 
huo ni uvuvi wa msimu wa mafuriko.
 
Kama umetimiza haya sio haramu
Mnavua eneo liloruhusiwa?
Mnavua kwa kutumia zana zilizokubalika
Umri /ukubwa uliokubalika? Kama sio huo sio uvuvi Ni uokotaji /ukusanyaji sawa na ndege wanavyofanya
 
Back
Top Bottom