Je, huu ni uungwana kweli?

Mume mwenzangu Eli79 Umesema mambo ya msingi sn Na ninahisi unaweza Kua Na mengi ktk kadhia hii! Ebu endelea kutililika Mkuu ila kwa sharti moja tu, USIMTAJE Karucee wangu!

hahaha, hakyanani wewe!! Nimekoma mkuu, simtaji tena!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ntuzu asante kwa kuniita kwenye uzi huu na kwa herufi kubwa nasema HUU SI UUNGWANA
Wale ni binadamu na wana uhitaji kama binadam wengine na kumbuka hao wafanyakazi ni wao wanaokupikia chakula kila siku na kukufulia na kukaa na watoto wako. Wakiamua kufanya lolote wana uwezo wa kufanya hivyo hivyo kuwatenga au kuwanyanyasa watu kama wale ni kujitafutia matatizo.

Kuna watu wamesafishwa nyumba zao na hao wasaidizi wa ndani kutokana na kuwanyanyapaa kama hivyo
Ni binadam kwani kukaa nae meza moja na kula nae utapungukiwa na nini au kuna kitu kitu gani kitatokea
Kama unampenda mvalishe vizuri na mfunze namna ya kushika uma na kisu na sio kumnyanyapaa kumkalisha mita kadhaa kisa ni msadizi wa ndani
Huu si uungwana hata kidogo
 
Last edited by a moderator:


Mkuu Asante sn kwa maelezo yako mazuri! Tupige vita unyanyasaji ktk Jamii Wa aina yoyote ile!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Asante sn kwa maelezo yako mazuri! Tupige vita unyanyasaji ktk Jamii Wa aina yoyote ile!
Mkuu Ntuzu kuna nyumba ukienda huyo anayeitwa msaidizi wa ndani haruhusiwi kusogea meza ya chakula wakati familia inakula achana na hayo ya kutoka kwenda out
Msaidizi atapika chakula na kukiandaa ila haruhusiwi kukishika mpaka familia ile kwanza ndo na yeye ataambulia kilichobaki
Kama siku hiyo ni kuku wamepikwa ataambul;ia miguu na shingo au vipapatio kama vitakuwepo na kama wamemaliza ataambulia harufu tuu ya kuwa leo kuku walipikwa hapa nyumbani
Na wengine huwa wanahesabu kabisa kama ni kuku anahakikisha part zote za kuku zipo ikipungua tuu ni issue
 
Last edited by a moderator:

Ni tambia mbaya sn Mkuu hiyo! Tena ni roho mbaya ya uchoyo Na unyanyasaji Wa Hali ya juu sn! Kwa chakula gani hasa mpk umfanyie mwanadamu mwenzako hayo?

Si uungwana hata kidogo! Tupige vita haya manyanyaso!
 
Last edited by a moderator:
Familia yenye mahouse girl wawili kuna haja gani ya kwenda wote mgahawani kula chakula ....kwanini wasipike nyumbani?
sometimes naenda tu kubarizi na kutoka out sio lazima kila ssiku mle nyumbani
 
sana yani..na unakuta house girl ashavumilia mengi
to be honest mara nyingi inakuwa akina mama ndo huwa wanawanyanyapaa mahouse girl mno tofauti na akina baba,na hasa kwenye suala la malipo yao yaani wengine hawalipwi mwisho wa mwezi au wakilipwa pungufu,plus masengenyo na vitisho kibao mwezi mzima mtu hana raha mchana anashinda vizuri mama mwenye nyumba akirudi furaha imeisha mda wote anakaaa chumbani akibadilisha basi kaenda jikoni tena mara moja
 
Ni tambia mbaya sn Mkuu hiyo! Tena ni roho mbaya ya uchoyo Na unyanyasaji Wa Hali ya juu sn! Kwa chakula gani hasa mpk umfanyie mwanadamu mwenzako hayo?

Si uungwana hata kidogo! Tupige vita haya manyanyaso!
sure mkuu house girls ni part and percel of our family
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…