Je huu ni uungwana jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je huu ni uungwana jamani?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bacha, May 27, 2011.

 1. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Habari zenu wote wapendwa...........................

  Rafiki wa dada yangu amekuwa akilalamika hivi majuzi kuwa mume wake,
  amekosa uungwana/upendo na uvumilivu. Huyu dada pamoja na kuwa anaishi mbali na mume wake kutokana na majukumu ya kazi, lakini amekuwa akiisaidia sana familia kwa kugharamia matumizi yote ya nyumbani kuanzia chakula, matibabu, usafiri na mambo yote muhimu ya kimaisha.

  Sasa amekuja kugundua kuwa mume wake anatembea na mwanamke mwingine,na isitoshe huwa anamleta mpaka hapo nyumbani. Mara baada ya huyu dada kugundua hayo aliona ni bora asitishe kupeleka fedha nyumbani, ukichanganya na hasira kidogo aliyokuwa nayo basi ndo hivyo tena. Pamoja na haya yote bado mumewe amekuwa ni mtu wa kumletea dharau sana na maneno yasokuwa na heshma. Lakini kwa jinsi huyu bwana asivyokuwa na haya, anazidi tena kumpigia magoti mkewe ili atume pesa za matumizi hapo nyumbani!

  wanajamii,Je huu ni uungwana kweli?
   
 2. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  La hasha sio uungwana!

  It is obvious that the guy values money, more than his wife!
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Jamani jamani ni nini hii yaani wameshindwa kumalizana huko mpaka unamleta nyumbani???

  Kwa kweli huu si uungwana kha!!! Natamani kulia kabisa kha!!!
   
 4. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nani kaolewa kati ya hao wawili? maana mwanaume kuomba fedha za matumizi na kupiga magoti kabisa huo ni ulimbukeni atafute pesa ya kuhudumia ndoa zake zote
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Huyu Mwanaume afanyi kazi au ni Marioo tu
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mwanaume gani unaomba fedha za matumizi hadi unapiga magoti kama sio Marioo ni nini??
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  bacha naomba nikutanie.......................

  Rafiki wa dadako afu we hizi habari unazijua kiundani hivi!!! afu nijuavyo weye ni mkaka ila kwa jinsi ulivyoandika mh............. imekuuma/kukera sana anachokifanya huyu mwanaume mwenzio (which is not normal- wanaume huwa mna tendency ya kuteteana!!

  Ni utani tu my friend.

  BTW
  hapa ninachowezaona ni kuwa mwanaume anaujua udhaifu wa mkewe na ndio maana anayafanya hayo. Lakini je baada ya huyo mdada kugundua kuwa ana mshirika, amejaribu kumconfront mumewe?? Kwa sababu huwenda huyo mume anakosa haya kwa kuwa anajua siri yake bado ni siri na mkewe hajui. Sasa haya ataipata wapi? pengine angejua kuwa mkewe kajua anacheat, angezipata haya na kupunguza dharau na kuomba matumizi!
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Halafu kuna dharau zingine zimevuka mipaka wewe mwanaume gani unaleta nyumba ndogo hadi nyumbani kwako sio tu hauheshimu ndoa yako bali unadhalilisha familia yako nzima. Pambaff kabisa, Shenzi taipu F***&%^
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hiyo red namsubiri Maty maanda ndo mtaalamu wa hao
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Dahhh..
  huu si uungwana kabisa na ni aibu sana..

  maskini usikute dada wa watu anateseka huko na kazi anatuma fedha nyumbani mumeo anachukua hizo fedha na kutesa na hawara wake... kuna watu hawana huruma kabisaa
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  "...kitanda usichokilalia!" ...Kila nyumba ina staarabu zake. Kuna baadhi ya mambo inakubidi 'ufunike kombe mwanaharamu apite.'

  Wote wawili si waungwana (kwa kisa hiki,) Unless umekusudia kusutwa na hao 'waarabu wa Pemba wanaojuana kwa vilemba.'
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  May 27, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Leo unamabusara hii nimeipenda sana good boy!!!!
   
 13. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wanawake sijui huwa na shetani gani?

  Kwa nini umtunze mume? Mimi mke wangu akininunulia hata c h u p i huwa naamini amechepuka kidogo siku hiyo!

  Mwanamume yoyote anayetunzwa na mke wake ni LAZIMA atakuwa anao wanawake wengi nje ya ndoa maana anafurahia "kutunzwa"!
   
 14. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Kifulambute, si huwa wanasema kuwa mwanamke akiwezeshwa nae anaweza!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  May 27, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Good Girl
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  May 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Sis saita...

  hivi tumfanyeje mwanaume kama huyu???
   
 17. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  nimekupata mkubwa........"To be great is to be misunderstood."
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Dada yangu kuna mambo mengine ni kutiana aibu tu halafu mwanaume mzima unaenda kumpigia magoti mwanamke kumuomba hela ya matumizi halafu anaenda kuzitumia na nyumba ndogo ambayo hiyo hiyo anaileta nyumbani, mimi kwa upande mwingine namlaumu huyu mwanamke analiona kosa halafu bado anaendelea kulifumbia macho maana baadae akija kusimulia mwanamke ndio ataonekana mwenye makosa kwa kuacha upuuzi na ushenzi huu uendelee hata kama ni ndoa, ndoa gani ya kudhalilishana kiasi hicho si ajabu huyu mwanaume anatumia kitanda hicho hicho wanacholala na mkewe kulala na hiyo nyumba ndogo yake.Pumbavu zake kabisa huyu.
   
 19. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  You chop off his thing:biggrin1:
   
 20. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kazi kweli kweli!
  huyu jamaa hata kwenye kile chama hafai kuwa hata mfagia ofisi......lol....
   
Loading...