Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,710
- 49,725
Mkuu katika biashara ya fedha kila taasisi huwa na vigezo na masharti yake ambayo mkopaji huyaridhia. Uyasomapo na kuyaelewa vyema, una hiyari ya kuyakubali ama kuyakataa kabla ya kujifunga na mkataba...
Hakuna Interest kuna Processing Fee😄😄
Hapana mkuu kuna wakati vitu lazima Serikali kupitia mamlaka husika iingilie na kuregulate. Malalamishi ya mleta mada ni sahihi. Nchi tajiri kama Norway Serikali na bunge mwaka juzi ilibidi iingilie kati kusaidia wananchi kupitia hizi online quick loans. Kwasababu riba ni kubwa na terms zao confusing. Mteja anapohitaji mkopo yupo desperate muda wa kusoma terms na condition hana ni confirm tu.Acha mambo ya kukopa ni utapeli
Ndio utapeli wenyeweKwahiyo processing fee inachukua mpaka asilimia 70-80?
Serikali inatoaje kibali kwa microfinance inayoprocess mkopo kwa dk 2 kwa gharama ya 80%?
Paul Makonda eti ndiye genius mwenyewe anayeaminika na Rais 😆😆😆😆Hii Tanzania Inachezewa Sana Awamu Hii
Hawa wakopeshaji wanatumia mwanya ulioachwa wazi na uzembe/kutowajibika kwa serikali. Kama serikali ingejenga mazingira bora ya ukopaji kupitia mabenki, hakuna mtu angeenda kukopa kwa watu binafsi.Hapana mkuu kuna wakati vitu lazima Serikali kupitia mamlaka husika iingilie na kuregulate. Malalamishi ya mleta mada ni sahihi. Nchi tajiri kama Norway Serikali na bunge mwaka juzi ilibidi iingilie kati kusaidia wananchi kupitia hizi online quick loans. Kwasababu riba ni kubwa na terms zao confusing. Mteja anapohitaji mkopo yupo desperate muda wa kusoma terms na condition hana ni confirm tu.
Bora betting na gambling kuliko hawa wahuni wa mikopo online.
Mifumo ya bank yote ndio yale yale,mifumo tunayotumia yote ni ya riba ,utawezaje kuzuia😂😂.Makali ya mikopo hao wa online na banks ni yale yale.Hapana mkuu kuna wakati vitu lazima Serikali kupitia mamlaka husika iingilie na kuregulate. Malalamishi ya mleta mada ni sahihi. Nchi tajiri kama Norway Serikali na bunge mwaka juzi ilibidi iingilie kati kusaidia wananchi kupitia hizi online quick loans. Kwasababu riba ni kubwa na terms zao confusing. Mteja anapohitaji mkopo yupo desperate muda wa kusoma terms na condition hana ni confirm tu.
Bora betting na gambling kuliko hawa wahuni wa mikopo online.
Hiyo ndo maana halisi ya 'Kausha Damu'..Mkopo wa ndani ya siku 5 inakuwaje uwe na riba kubwa kiasi hichi?
Sijacalculate vizuri lakini naona ni kama 70% hivi.