The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,581
- 7,250
Yeap inaonekana ni kama fasheni kwenye huo ukoo kutembea na ndugukama anauhakika na ayafanyayo babako mdogo asimruhusu mkewe kwenda maana anaweza kupitiwa na shetani 😀
Hahahhhushauri wa nini sasa braza!!!!! kila kitu kiko wazi hapo......ok awaheshimu wazazi ampe nauli aende,,,, akae miezi mitatu,,,,,,
Duh miezi mitatu nikajue aende isizidi wikiushauri wa nini sasa braza!!!!! kila kitu kiko wazi hapo......ok awaheshimu wazazi ampe nauli aende,,,, akae miezi mitatu,,,,,,
Ushauri mzuri ila tatizo Huyu jamaa amejiajiriWanaume wa siku hizi bana sasa hapa ushauriwe nini
Waambie ndugu zako nikipata likizo kazini nitakuja siwezi muacha mama watoto wangu aje mwenyewe
Sababu wewe ni kichwa cha familia hakuna wa kukupinga
Ni sio sehemu ya kuweza kwenda na kurudi siku hiyo hiyo ndio tatizoAmwache Aende ila jioni arudishe makongoro yake home..
Chukulia ndio ungekuwa wewe je ungekuwa na amaniAkakae kwa miez 6 tuu!
Balaa tu watu wanakulana wenyewe kwa wenyeweha ha! maisha na maajabu yake!
Ajiongeze yeye mwenyewe kuwa watakuja anajichanga aendelee kuwapiga kiswahili mpaka wachokeUshauri mzuri ila tatizo Huyu jamaa amejiajiri
Balaa tu watu wanakulana wenyewe kwa wenyewe