yaani wewe Kichwa Ndio Mtu fungua ofisi ya kung'arisha nyota kwa wadada ambao hawajaolewa, nahisi utapata soko kubwa tu.....
Aiseee uko wapi na mie ning'arishe nyota?
Weweeeh?!
You are that desperate,??!
Nenda ukakute anang'arisha nyota kwa 071...
Do not take my comments to serioisly mkuu
Habari.
Wakuu,binafsi sielewi kama hii ni bahati nzuri kwangu(baraka) au ni mkosi.
Kila msichana ninaekua nae katika mahusiano lazima aolewe,wengine wanaolewa bado nikiwa nao kwenye mahusiano na wengine wanaolewa mara tu baada ya kuachana nao.
Nimejiuliza swali hili baada kupata taarifa kua mdada nilie achana nae mwezi uliopita anaolewa mapema mwakani,nikarecall mahusiano yangu kwa miaka kadhaa iliyopita nikagundua kua wote niliowahi kua nao wameolewa,wengine waliolewa hata kabla hatujaachana.
Je huu ni mkosi(bahati mbaya kwangu) au ni baraka kwamba nikitoka na mtu nang'arisha nyota yake ya ndoa?
Nimekusoma mkuu! So hatima yetu itakuwaje sasa namaanisha hata nikioa hiyo energy si nitamwambukiza huyo atakayekuwa mkewangu na kusababisha agegeduliwe na michepuko wasio na idadi? Unaniogopesha mkuu!wewe una kitu kinaitwa 'positive energy' au 'good vibes'
ambazo zinasababisha mwanamke yeyote akikusogelea anapendeza sana
unawaambukiza kitu kama 'feel good factor' hivi
wanajisikia vizuri..wanajiamini....their inner beauty inajitokeza sana hadi wattu wengine wanakuja kuwagombania
kitu hiko kama unacho sio lazima mwanamke utembee nae....hata mkiwa 'just friends'
utamuambukiza........sasa usikute hata wadada ambao huku sex nao but ulikuwa nao close na waliolewa soon
hutokea baadhi ya watu wanawake na wanaume wanakuwa na hiko kitu...
wanaweza kumfanya mtu mwingine aweze ku shine.....kwa urafiki tu.....