mwalimumzalendo1
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,098
- 407
Unakuwa mchepuko kwa kila mwanamke unayekua nae
Habari.
Wakuu,binafsi sielewi kama hii ni bahati nzuri kwangu(baraka) au ni mkosi.
Kila msichana ninaekua nae katika mahusiano lazima aolewe,wengine wanaolewa bado nikiwa nao kwenye mahusiano na wengine wanaolewa mara tu baada ya kuachana nao.
Nimejiuliza swali hili baada kupata taarifa kua mdada nilie achana nae mwezi uliopita anaolewa mapema mwakani,nikarecall mahusiano yangu kwa miaka kadhaa iliyopita nikagundua kua wote niliowahi kua nao wameolewa,wengine waliolewa hata kabla hatujaachana.
Je huu ni mkosi(bahati mbaya kwangu) au ni baraka kwamba nikitoka na mtu nang'arisha nyota yake ya ndoa?
Hahaa wii usincheke bhana
utakuwa siyo faza material ndio maana!!!
pole yako
yaani wewe Kichwa Ndio Mtu fungua ofisi ya kung'arisha nyota kwa wadada ambao hawajaolewa, nahisi utapata soko kubwa tu.....
Yawezekana unakibamia na pia nguvu za kutosha huna. Hivyo hao ulishawahi kuwa nao waliona watasononeka maisha yao yote(huwafikishi kunako kilele)
naomba namba yako plz unisafishe nyota nimechoka na huu upweke.....
Spem zako zitakuwa na upako
Itakuwa unakuwa kwenye uhusiano na wachumba wa watu
Habari.
Wakuu,binafsi sielewi kama hii ni bahati nzuri kwangu(baraka) au ni mkosi.
Kila msichana ninaekua nae katika mahusiano lazima aolewe,wengine wanaolewa bado nikiwa nao kwenye mahusiano na wengine wanaolewa mara tu baada ya kuachana nao.
Nimejiuliza swali hili baada kupata taarifa kua mdada nilie achana nae mwezi uliopita anaolewa mapema mwakani,nikarecall mahusiano yangu kwa miaka kadhaa iliyopita nikagundua kua wote niliowahi kua nao wameolewa,wengine waliolewa hata kabla hatujaachana.
Je huu ni mkosi(bahati mbaya kwangu) au ni baraka kwamba nikitoka na mtu nang'arisha nyota yake ya ndoa?
nimekumis wewe
Upo?
Mkuu......ndio yule mliye kwenda kupima juzi......?
Yule ndio niko nae saivi, nilipokua namsikilizia huyu kuna mwingine tulikua hatuko sawa kwa hyo baada ya kumpata huyu nikaamua kubreakup na yule,sasa dada ake kaniambia anaolewa mapema mwezi ujao.