JE HUU NI GENTLEMEN?

Jagood

JF-Expert Member
Aug 15, 2016
2,141
2,390
b581db17c2fd055ac4021e1833530579.jpg
 
Inategemea na safari na situation ilivyo!!

Kuna siku pale makumbusho daladala limejaa akaingia mama na mtoto mgongoni... Akasimama, mtoto akawa analia mama anahangaika kumbembeleza. Daladala ilikua inashindwa kutoka sababu ya msongamano wa mabasi pale kituoni... Yule mama alikua anatuangalia tuliokaa kwa macho ya huruma ili apishwe siti... Mkaka fulani akajitokeza na kumpa live, " kwanini usipande gari ya nyuma iko tupu?" Mdada anajitetea eti ana haraka!!! Alisimama na mwanae safari nzima mpaka siti ilipopatikana kihalali.
Ukichukua picha kama ilivyo bila kujua story behind unaweza ukatoa lawama za bure.
 
Napita tuu
 
Vijana wa siku Hizi mna nidhamu MBOVU. Mkiwa kwenye daladala hampishi wakubwa zenu. Muda wote mnajifanya eti mnachati na vi smartphone vyenu.
 
Kitu ambacho sipend na hua nachukia sana nimepanda gari halafu gari limejaa full Mara anaingia mlemavu wa magongo anataka na yeye asimame hivi kweli hapo sio kupimana hakiri tu na watu walio kaa?
 
wakati mwingine mahali gari linapoanzia kabisa anaingia mama na mtoto badala angesubiri linlofuata il apate siti lakini analazimisha kuingia humo akijua atasamariwa....NDIO MAANA HUPENDA SITI ZA NYUMA
 
Inategemea na safari na situation ilivyo!!

Kuna siku pale makumbusho daladala limejaa akaingia mama na mtoto mgongoni... Akasimama, mtoto akawa analia mama anahangaika kumbembeleza. Daladala ilikua inashindwa kutoka sababu ya msongamano wa mabasi pale kituoni... Yule mama alikua anatuangalia tuliokaa kwa macho ya huruma ili apishwe siti... Mkaka fulani akajitokeza na kumpa live, " kwanini usipande gari ya nyuma iko tupu?" Mdada anajitetea eti ana haraka!!! Alisimama na mwanae safari nzima mpaka siti ilipopatikana kihalali.
Ukichukua picha kama ilivyo bila kujua story behind unaweza ukatoa lawama za bure.
Neno kuntu
 
Inategemea na safari na situation ilivyo!!

Kuna siku pale makumbusho daladala limejaa akaingia mama na mtoto mgongoni... Akasimama, mtoto akawa analia mama anahangaika kumbembeleza. Daladala ilikua inashindwa kutoka sababu ya msongamano wa mabasi pale kituoni... Yule mama alikua anatuangalia tuliokaa kwa macho ya huruma ili apishwe siti... Mkaka fulani akajitokeza na kumpa live, " kwanini usipande gari ya nyuma iko tupu?" Mdada anajitetea eti ana haraka!!! Alisimama na mwanae safari nzima mpaka siti ilipopatikana kihalali.
Ukichukua picha kama ilivyo bila kujua story behind unaweza ukatoa lawama za bure.
Neno kuntu
 
Vijana wa siku Hizi mna nidhamu MBOVU. Mkiwa kwenye daladala hampishi wakubwa zenu. Muda wote mnajifanya eti mnachati na vi smartphone vyenu.
Vizee vinapishwa ila wakubwa hapana kwa kweli!! Unampisha mtu ambaye unajua kusimama itakua ngumu kwake.... Sasa wewe mtu mzima na afya yako unataka upishwe kiti ili iweje? Unaweza kuta huyo kijana afya yake mbovu kuliko ata wewe.... Haswa kwenye hizi foleni za masaa mawili ni ngumu kumpisha mtu hasie kizee au mjamzito au mbeba mtoto...
 
hasie=Asie
 
Back
Top Bottom