Je, huo nao ni ushujaa?

Kabla hujaandika huu umeshajiangalia kama Mkia uliokatwa umeshaota?
 
HALAFU UMEKOSA UUNGWANA KWELI BADALA YA KUTULETEA MADA YA JINSI UNAVYOMFAHAM 6 NA JINSI ALIVYO KUTOSA KWENYE KUANZISHA CCJ. AU NDIO BURUDANI YAKO HII?
 
Si ndo yule aliyekatwa mkia katoroka zizini, anahangaika mtaani sasa.
 
Kiongozi mkuu amwtoka kwetu mkuu kwa nini asijipendekeze anaweza kukumbukwa kwenye member of board
 
Mkuu umempa za uso akisoma hii lazima akae chini.
 
Fred Mpendazoe nitoke vipi!!!
 
Well said. SIDHANI KAMA TUTAMPATA RAIS SHUJAA KAMA MAGUFULI.
Wewe saiz yako ni mathayo mbunge wako haya mengine huyawezi. Nenda subili wanaokuja kukodi maroli kupeleka misiba huko vijijini
 
Nafasi za uteuzi zimejaa..Tujiajiri sasa
 
Mzee shikamoo, samahani mkia umeshaota?
 
Nikifikiria suala la Mikopo sitaki hata kumaliza kusoma!
 
Wewe utakuwa ni miongoni mwa wapiga deal ndio maana unalalamika
Sijalalamika chochote mkuu...hela za nssf/ppf ni za wafanyakazi wa hali ya chini...kwani wewe unasapoti huu ujambazi unaofanyika kwenye mifuko hii...mmmh
 

Kila ulipo andika meno JPM, badilisha weka CCM.....I don't know why but I find this very funny!
 
...labda akapandikize wa Kichina, mkia original ukishakatwa ndiyo basi tena.
Aende Tandika kuna mganga toka Maswa anaunganisha mikia iliyokatwa, kusafisha nyota za UDC, zindiko la kujipendekeza na mengine mengi.😀
 
lol! hahahahahahah. Mkia umeshakuwa mali MUJINI.

Aende Tandika kuna mganga toka Maswa anaunganisha mikia iliyokatwa, kusafisha nyota za UDC, zindiko la kujipendekeza na mengine mengi.😀
 
@ fred Mpendazoe mbona haueleweki umesimamia nini!una huakika mchanga hausafirishwi?walijifanya kuwazuia mkataba ukawabana serikali mkawaruhusu sasa mchanga gani unaongelea acha kujivua nguo mchana. Wambie watoto mashuleni hapa niwatu wazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…