Je, Humphrey Polepole ni Spika wa Bunge mtarajiwa?

Je, Humphrey Polepole ni Spika wa Bunge mtarajiwa?

Punguza vituko.

Sipika lamima atokane na wabunge wakuchaguliwa na Wananchi.
Labda kwa katiba ya kwako. Kwa katiba ya nchi ya Tanzania, spika lazima awe na sifa za kuwa mbunge na lazima awe amependekezwa na chama Cha siasa.

Ndiyo maana mwaka 2005 Pius Msekwa aligombea chamani kwao na alichuana na Samwel Sitta, Sitta alimwangusha Msekwa na hatimaye akawa spika. Kumbuka mwaka huo, Msekwa hakuwa mbunge.

Naibu spika ndiye lazima awe mbunge, lakini spika si lazima awe mbunge, Bali awe na sifa za kuchaguliwa kuwa mbunge. Kiufupi spika lazima awe na sifa za kugombea ubunge, fullstop.


Ngoja nikupe na hii.
Ndiyo maana spika huchaguliwa kwanza na wabunge wateule, kisha yeye ndiye huwaapisha wabunge wateule kuwa wabunge rasmi. Lakini naibu spika huchaguliwa baada ya kuapishwa Kama mbunge.
 
Sijui kwa kweli ila kama ngozi ina pumba pumba fulani au kama ya mtu alieogelea mda mrefu
Watu huota usiku lakini wewe unaota mchana! Huyo yuko njiani kuondolewa ukatibu uenezi. Namna pekee ya kumpa soft landing ilikuwa kumpa ubunge. Hakuna zaidi ya hapo ndugu!
 
Back
Top Bottom