grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 4,015
- 5,664
Kweli mkuu nilishtuka kidogoMakanjanja wapo kazini. American business magnate yaani ndo "Msanii wa muziki". What a shame!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo wakati napitia pitia google nikabadili searching language na kuweka kiswahili na kumsachi Mwekezaji huyu BILL GATES dhumuni ni kuwa iniletee maelezo kwa kiswahili sasa baada ya ku search tu matokeo yake taaluma yake iliyokuja ni hii hapa chini ,JE ni kuwa wamejisahau au jamaa kweli ana taaluma hiyo?View attachment 825840
Mbona ana ngoma kali kibao tu.Leo wakati napitia pitia google nikabadili searching language na kuweka kiswahili na kumsachi Mwekezaji huyu BILL GATES dhumuni ni kuwa iniletee maelezo kwa kiswahili sasa baada ya ku search tu matokeo yake taaluma yake iliyokuja ni hii hapa chini ,JE ni kuwa wamejisahau au jamaa kweli ana taaluma hiyo?View attachment 825840
Kama zipi mkuu?[emoji23]Mbona ana ngoma kali kibao tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vituko vya Google hivyo... Kuna wakati huwa nadhani Google ni jini linalotumia mmeaLeo wakati napitia pitia google nikabadili searching language na kuweka kiswahili na kumsachi Mwekezaji huyu BILL GATES dhumuni ni kuwa iniletee maelezo kwa kiswahili sasa baada ya ku search tu matokeo yake taaluma yake iliyokuja ni hii hapa chini ,JE ni kuwa wamejisahau au jamaa kweli ana taaluma hiyo?View attachment 825840
ile ninogeshe si kaimba yeye, mkuu au hufatilii gemu nini
Halafu hii inatokea ukiweka searching language kiswahili tu kwa lugha nyengine inaleta kawaida tu [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vituko vya Google hivyo... Kuna wakati huwa nadhani Google ni jini linalotumia mmea
[emoji23] itakuwa google ya bongo hiiDoooh shida sanaa mbona. Kama hawajui lugha yetu vizur. Waje waelekezwe au watuajiri tuwasaidie kutafsiri
Sasa je, ukileta kiswahili na wao wanakuletea uswahili.Halafu hii inatokea ukiweka searching language kiswahili tu kwa lugha nyengine inaleta kawaida tu [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kweli kabisa. Ni shida katika lugha[emoji23] itakuwa google ya bongo hii
Leo wakati napitia pitia google nikabadili searching language na kuweka kiswahili na kumsachi Mwekezaji huyu BILL GATES dhumuni ni kuwa iniletee maelezo kwa kiswahili sasa baada ya ku search tu matokeo yake taaluma yake iliyokuja ni hii hapa chini ,JE ni kuwa wamejisahau au jamaa kweli ana taaluma hiyo?View attachment 825840
Na mpaka sasa hawajabadiliHuko si kujisahau, sema kuna mtu kufanya makusudi ili kuleta utata.
Google hovyo kwel ndo maana situmii