Je, huko alikokimbilia atakuwa salama?

Je, huko alikokimbilia atakuwa salama?

Muhishimiwa Itabidi apoteze tena usingizi wake kufanya uchambuzi yakinifu ila sijui atatumia binoculars?
 
atarudi akimaliza shule .ameenda kuanza form one
Alivyokuwa anaongea kwa mamlaka na mbwembwe ile siku ya kukabidhi majina 97!Yaninkumbe akiguswa yeye ni mlaini hivi?Ndani ya muda mfupi katembea kwa waganga wote,mashekhe na makanisa...na kaenda kujificha kabisa!
Naanza kuamini vita juu ya dawa ya kulevya ilikuwa vita against Cartels.
SIJUI AAAAGY ATAENDA SOUTH LINI
 
naskia amepokelewa na papa wa sembe,,,kama ni kweli alikua mzandiki ,,,laana ya kumpiga yule mzee wetu wa katiba mpya
 
naskia amepokelewa na papa wa sembe,,,kama ni kweli alikua mzandiki ,,,laana ya kumpiga yule mzee wetu wa katiba mpya
Ndiyo hivyo! Siyo siri tena, washirika wake ndo hao! Hapa Masogange huko Kinje!
 
Cc
shibekijijini
investigator

mpokeeni huyo mkabebe wote mabox
 
Back
Top Bottom