Sasa kama hujaaga na umeondoka huku umefunika uso kwa kipande cha gazeti chakavu, haujatoroka kweli?Watu bwana......kaenda au kakimbia...na ni nani huyo
Vipi, ndala alikumbuka kuzibeba mkononi? [emoji120] [emoji13] [emoji13] [emoji13]'..kondakta' amtimua Daudi Bashite kwenye jiji lake ...kama alivyoahidi
Je mnakumbuka wakati Agnes Masogange na wenzake walipokamatwa na madawa ya kulevya africa kusini? Waliwekewa dhamana na walikuwa wanakaa na Kinjeketile Mwiru kwani yeye ndiye mfadhili wa watanzania wabebao unga na kupeleka kule.Nasikia mwenyeji wake aliyempokea huko ni kinara wa ngada! Hii imekaaje? Anaitwa Kinjeketile Mwiru!
Ameenda kusaidia operational ngada hukoKwanini magu kampa kibali cha kwenda SA, kuna nini huko?
Tutavikabidhi kwa Thabo Mvuyelwa Mbeki huko bondeniAcha maneno LETA VYETI
Unavuta bangi
Unavuta bangi
Tulishatoa angalizo kwamba huyu watamfuturu.Nasikia mwenyeji wake aliyempokea huko ni kinara wa ngada! Hii imekaaje? Anaitwa Kinjeketile Mwiru!
Ndiyo kiama chake hicho.Na kama hivyo ndivyo,itakuwa ni kwa gharama za nani?...na hata kama akimgharamia ni kwa kipindi gani?
Manake kwa upeo wangu mdogo wa masuala ya usalama hawa jamaa wana visasi hata baada ya miaka 20.
La cosa nostra.Revenge of the criminals.
![]()
daah sasa fanya ivi ngoja mimi niende kwa mangi nikakope kopo moja la maindi alaf kuna jamaa aliniambiaUko sahihi mkuu,sijala.
Hapo sawa Bashite alete vyetiTutavikabidhi kwa Thabo Mvuyelwa Mbeki huko bondeni
atarudi akimaliza shule .ameenda kuanza form onena abaki hukohuko south africa asirudi tena bongo