Wadau,
Nimekuwa nikijiuliza mara kadhaa bila kupata majibu sahihi. Ni matumaini yangu humu jamvini wamo wataalam wa mambo mbalimbali.
Ninachotaka kujuzwa ni kuhusu haya maeneo na hasa viwanja vya mpira. Utasikia kiwanja kinaitwa kwa jina la CCM. Vipo viwanja kadhaa hapa nchini na Majumba kadhaa na Maeneo kadhaa ya wazi utasikia pia hata eneo fulani la wazi linaitwa kwa jina la ccm.
Swali langu, Je ni kweli CCM ndiyo walijenga hivyo viwanja vyote tunavyosikia ni mali yan
Ni kweli,,,,,,swali jingine?
ni sawa na leo mtu aanze kuhoji kama kanisa catolic yale maeneo wanamiliki kweli kihalali ama walikatiwa tu...
ukweli ni kuwa ccm ama catolic waliona mbali na na kukamata maeneo kipindi kile yakiwa na bei cheap,kama shs 150 kwa heka na wakapata title zake.
sasa leo kibushuti tu kazaliwa miaka ya 90 eti anahoji uhalali wa mali za ccm
Yes litakuwa Lao kwasababu litakuwa limejengwa na chama. Kumbuka umeshaambiwa kwa sasa tupo kwenye vyama vingi. Hata kwa ccm miradi wanayofanya sasaivi lkn iwe kihalali zisiwe pesa za kuchukua kutoka serikalini kifisadihata chadema wakiacha kukodi jengo la ofisi na wakijenga litakuwa lao
mimi najiuliza swali moja tu,hivi ukifanyika uchunguzi wa kina ule ukumbi mpya kule dodoma hakuna hela ya serikali iliyoingia pale????
Malimao yanakuhusu wewe harakia fasta itakuja kutoka iyo