Je, hizi ndio tabia za wanawake?

Je, hizi ndio tabia za wanawake?

Tafuta mwanamke asiye zaa,hawa huwa na ukarimu,ila hao wengne n shida tena akzaa anawasahau wa kwako
 
Hongera pia bora aliondoka...
Huenda ukakutana na kubwa zaidi ya kuachiwa watoto...
Baadhi ya hawa kina mama zetu huitikia sana maneno kutoka nje....
Jiulize mama anawezaje kumwacha mtoto wa miaka mitatu...?

Mkuu
Huyo mama asiye na huruma na wanae hayamkini huwezi jua Mungu anaepusha janga gani mbele.
Wapo kina mama ambao wamepitia shida kama yako ukimpata mara nyingi huwa wema kutokana na experience yao. Usioe binti mdogo atakutesa.
Pia misimamo yako juu ya wanao hiyo pia inaweza saidia. Kama watoto wako watakuwa karibu watakuambia na utasema naye na kama ana mapenzi ya kweli hatotaka kufanya jambo litakalo kusononesha.
 
Back
Top Bottom