Je hizi kamati za bunge zinamanufaa yapi kwetu watz

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
wana jf mimi maoni yangu kuhusu hizi kamati za bunge ni kama uvujaji wa pesa. Hizi kama zipo lakini matatizo yako palepale leo utasikia wapo ziara mtera, mara wapo bagamoyo kwenye vikao wiki nzima, wapo ziarani uganda kujifunza na posho zao nono je hii ni nini??
Je na nchi za watu kama us,uk,uarabuni, kenya, uganda, nigeria, rwanda wana hivi vitu au tumecopy kutoka wapi na je hii ilikuwepo tangu enzi za mwalimu.

Naomba maoni yenu mimi binafsi naona kama kuhujumu uchumi na je ukumbuke kuna mawaziri vivuli nao wanakazi ya kufuatlia serikali, je na wao wanalipwa??
Kama ni hivyo piga total budget ya hizo kamati na mawaziri vivuli.

Hapo mtaendelea kweli na kama chadema wangechukua nchi je wangevunja hizo kamati
au tuiweke kwenye katiba

maoni yenu
 
Kimsingi kamati za bunge ni mradi wa wabunge kula posho tu lakini hazina kazi yoyote zaidi eti ya kuishauri serikali
 
Back
Top Bottom