Je hizi APP zinapokeaje malipo yao?

Je hizi APP zinapokeaje malipo yao?

Tata ya bana

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
304
Reaction score
369
Wakuu naomba kupata mwangaza je hizi app kama WhatsApp, google FB nk, NI taasisi zilizo live na wana ofisi zao, je huwa wanajigharamiaje coz kwa mfano mimi nanunua vocha huku naunga MB zangu nazitumia na mtandao husika wanakata gharama za huduma sasa hizi app maybe kule headquarters zao wanapataje malipo haya?
 
1. Kwanza wanalipwa na watu wanaotangaza kwenye site zao na uhakika ushwahi ona tangazo limeandikwa sponsored au kama ni mtumiaji wa youtube katikati ya ya video wanakukatisha wanaleta tangazo hao ndio wanawalipa.

Pili wanalipwa na makapuni ya biashara kwa kuuza taarifa zako ambazo zitatumika kwenye kampeniz zao za biashara mfano page unazotembelea vitu unavyosearch online.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Facebook, insta na Youtube naelewa. Vipi kuhusu whatsapp. Wao wanapataje faida ilhali hakuna matangazo ya 'sponsored'?
1. Kwanza wanalipwa na watu wanaotangaza kwenye site zao na uhakika ushwahi ona tangazo limeandikwa sponsored au kama ni mtumiaji wa youtube katikati ya ya video wanakukatisha wanaleta tangazo hao ndio wanawalipa.

Pili wanalipwa na makapuni ya biashara kwa kuuza taarifa zako ambazo zitatumika kwenye kampeniz zao za biashara mfano page unazotembelea vitu unavyosearch online.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naomba kupata mwangaza je hizi app kama WhatsApp, google FB nk,NI taasisi zilizo live na wana ofisi zao,je huwa wanajigharamiaje coz kwa mfano mm nanunua vocha huku naunga MB zangu nazitumia na mtandao husika wanakata gharama za huduma.ss hizi app maybe kule headquarters zao wanapataje malipo haya????
Kwa kifupi kabando kako hakana uhusiano wowote kwenye makusanyo ya whatsapp/FB.
IMG_20191219_211651_816.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Facebook owns instagram, facebook messenger, whatsApp, oculus and many more na facebook gets 90% revenue from ads alone kwahiyo amna haja ya whatsapp kuwa na ads like Roadmap said "Data is power" Hence a Tech Giant
 
Back
Top Bottom