Je, Hivi ni kweli kuna baadhi ya sabuni za Unga huwa zinapausha nguo ukizitumia zaidi ya mara moja au mara kwa mara?

Hawa mungu awabariki japo ni biashara lkn . Nguo hautumii nguvu nyingi kufikicha,haichubui mikono,sabuni kidogo povu lake sasa!!! Huwa nafulia nguo za mtoto hata ziwe chafu kiasi gani zingaa...

Nguo hazichakai kwakua haufikichi sana.....jaribu uone....Sina maslai na kiwanda ni uteja tu umenizidi.
Screenshot_20210103-205050.jpg
 
Zamani nlikua naangalia Matangazo mtoto kachafua nguo Mama anaweka kwenye maji ya omo.. nakutoa Ina ng'aaa..

Nikawa nafua nguo za mtoto Miaka 6..hivi..kwa omo...AISEE NILIFIKICHA nikasema Kweli Hawa wamatangazo Wana lao jambo

biashara ni matangazo,

Halafu omo ukifulia kwenye washing mashine utafurahi inang'arisha sana ni tofauti ukitumia mikono
 
Kuna sabuni ya unga inaitwa Aerial (sina hakika kama nimepatia maandishi), inauzwa ghali sana huku Arusha sijui kwanini, kuhusu sabuni ya kipande tumia White wash hutojutia, jamaa inachubua mikono.
 
Hawa mungu awabariki japo ni biashara lkn . Nguo hautumii nguvu nyingi kufikicha,haichubui mikono,sabuni kidogo povu lake sasa!!! Huwa nafulia nguo za mtoto hata ziwe chafu kiasi gani zingaa...

Nguo hazichakai kwakua haufikichi sana.....jaribu uone....Sina maslai na kiwanda ni uteja tu umenizidi.View attachment 1666848
Hii ni kampuni gani?
 
Wakuu habari za Wakati huu

Twende kwenye mada

Nilikuwa nahitaji kufahamu kama ni kweli kuna baadhi ya Sabuni za Unga unapozitumia mara kwa mara au zaidi ya mara moja huwa zinapausha Nguo?

Kama ni kweli, Je ni Kampuni ipi ambayo Sabuni zao huwa zina Ubora ambao pia hauna athari kwa mtumiaji.
Ndio zipo. Zile sabuni ambazo zimezidishwa kiwango Cha caustic soda wakitarajia zing'arishe zaidi kumbe ndo Zina pausha zaidi.
 
Back
Top Bottom