Je, hivi ndivyo Jamal Kashoggi alivyouliwa na majasusi wa Saudia Arabia?

Sidhani kama ni ukweli,hizi nchi za mabeberu Waziri Sana kwenye ku cook information
Kila kitu mabeberu, mabeberu, mabeberu.... Kabla ya hapo lawama ilikuwa wakoloni, wakoloni wakoloni.... Ngoja tusubiri mabeberu yakiisha tutaanza kusikia makondoo, makondoo....
 
Sisi kama Waislam wa Ahli Sunna Wal Jamaa

Jambo hilo kisheria,ni la kupingwa Vikali

lkn hatuna uthubutu wa asilimia zote,za kumtuhumu Saudia Arabia

na hili
Halina maana kwamba wao wamekingwa na kukosea,hapana
Bali kwa uliwemwengu wetu,bado kunahitajika jibu la kweli tena sahihi



Sisi kama Waislam wa Ahli Sunna Wal Jamaa

Jambo hilo kisheria,ni la kupingwa Vikali

lkn hatuna uthubutu wa asilimia zote,za kumtuhumu Saudia Arabia

na hili
Halina maana kwamba wao wamekingwa na kukosea,hapana
Bali kwa uliwemwengu wetu,bado kunahitajika jibu la kweli tena sahihi

Utapingia wapi ikiwa kitendo hicho ni miratul rasul na mmeagizwa mumgeze mtume View attachment 967075 mtume alimuua huyu mama kinyama
IMG_20181213_174452_024.jpg
 
Mkuu hili la Rais wa uturuki lina agenda kubwa sana nyuma ya pazia
Hata kama lina agenda, haimaanishi kwamba si kweli. Wanawindana sana Saudi na Uturuki. Mturuki kampiga bao msaudi kwasababu ya ushahidi walioukusanya. Ina maana wasaudi walikuwa under surveillance pengine 24/7 bila ya wao kujuwa. Wanarekodiana kila mahali. Bugs everywhere!
 
Ndani ya ubalozi wa Saudi Arabia uliopo Turkey.

Jamaa machale yalimcheza lakini it was too late. Alimuona mmojawapo wa "watu wasiojulikana" ambaye alikuwa akimfahamu kuwa anafanya usalama wa Saudi. Alipomuona, akawa anasita na kuanza kumuuliza kuwa amekuja kufaya nini pale ubalozini?

Ndipo wakamvamia na kuanza kumkaba na kumkatakata akiwa mzima, pengine walianza kwa kumchinja. Ila jamaa alikuwa akipiga makelele na akilalamika kuwa hawezi kupumuwa, pia kuwaomba wamwache lakini wapi. Mwishowe jamaa aliyekuwa akimkatakata akawaambia wenzake waongeze sauti ya mziki kama hizo kelele zinawapa shida,
Inahuzunisha Sana wangetumia mbinu nyingine kwa njia hii,hapana.
 
Nadhani hapa umebadiri topic kabisa, wauaji wale wa wale albino ni wapagani cause wanapokea maelekezo kwa waganga wa kienyeji ambao bila shaka dini zote zinawakataa hawa waganga, tukio la kuuawa huyu mwandishi limefanyikia ubalozini which means serikali ndio imebariki mauaji hayo na remember serikali ya Saudia ni ya kidini kwa maana ya Kiislam so kwa hili huwezi kukwepesha kwamba wana dini hao ndio walimuua huyu mwandishi, laity kama mwandishi angeuawa mitaani say hata mitaa ya miji ya Saudia we could sya wahuni (labda wasio mcha Mungu) ndio wametekeleza mauaji hayo lakini sio ndani ya ofisi za ubalozi wa nchi inayofata sharia!
kabla ya kusema kuwa inafuata sheria lazima ujue sheria hiyo inasemaje.
 
Busara gani, mara ngapi hao wafia dini huimba "Alllaaaaaaah" wakati wanachinja watu? Na ukibisha tu nakuwekea video clip live uone mwenyewe!
Kutamka ALLAH si tija. Je kuna makanisa mangapi yanayodhurumu watu kwa kutumia jina la Yesu kama alivyodhurumiwa nafasi Jamal kwa kutumia neno ALLAH.
 
Back
Top Bottom