Je,Hillary Clinton anakuja Tanzania?

Je,Hillary Clinton anakuja Tanzania?

Isae

Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
80
Reaction score
5
Leo aubuhi katika habari za magazeti nikasikia kuwa Hilary Clinton anategemea kuja Tanzania kutembelea miradi inayofadhiliwa na Marekani.Kama kuna mdau mwenyedetails naomba kwani sukusikia arrival date na schedule kwa ujumla. Je ni hilo tu au kuna zaidi.
 
??????????????????????????????????????????????????????????????
 
Leo aubuhi katika habari za magazeti nikasikia kuwa Hilary Clinton anategemea kuja Tanzania kutembelea miradi inayofadhiliwa na Marekani.Kama kuna mdau mwenyedetails naomba kwani sukusikia arrival date na schedule kwa ujumla. Je ni hilo tu au kuna zaidi.

Alikuja Bill Clinton wakati akielekea Pretoria kuangalia mechi ya USA vs Algeria..
 
Back
Top Bottom