Je hili ni tatizo gani?

Je hili ni tatizo gani?

Huo muda wote, mwenzako nae anafika kileleni..au unakua unajiumiza tu huku mwenzako akivumilia umalize?
Hivi ni dalili zipi zitanijulisha kuwa mwenzangu amefika kileleni?
 
Dalili ni tafauti kulingana na mwanamke, lakini njia nzuri ya kumfaham wa kwako ni kumuuliza au atakujulisha mwenyewe. Na pia wengine hudanganya ili umalize haraka.
 
soma vizuri kuhusu kitu kinachoitwa IMPARED EJACULATION

usisikilize watu wanaokwambia ni normal hell no ...hilo ni tatizo kwako na mateso kwa mwenzi wako

just do the math.. 1st round ambayo huwa ipo fasta kwako inachukua 50mnts je second na third si mtatumia masaa sita kukwichikwichi tu

matokeo yake mnachubuana tu wewe mwenyewe ukitoka hapo dushe lote linauma na demu wako naye papuchi wiki nzima maumivu (utakimbiwa)

impared ejaculation inatibika ukimuona daktari maana sometimes huwa inasababishwa na baadhi ya madawa yanayotibu magonjwa mengine so unaweza pata msaada
 
Nalo neno
 
Back
Top Bottom