Je hili ni tatizo gani?

Je hili ni tatizo gani?

Habari wana MMU,

Moja kwa moja niende kwenye mada,

Wiki hii nilikutana na demu wangu kwa ajili ya mgegedo. Lakini tukiwa katika harakati hizo, alishangaa first round ikichukua kama dakika hamsini bila ku pizi.

Kuanzia hapo, mpenzi wangu huyo amenichukia eti ni kama nilifanya kwa kukamia na kukomoa.

Kiukweli huwa inanichukua muda mwingi sana, na dushe likiwa limesimama dede bila ya kuchoka mpaka ninapizi kwa mara ya kwanza.

Na baada ya hapo, second round hunichukua muda zaidi ya awali mpaka kupizi.

Je hili ni tatizo au ndio urijali wenyewe!?

Huo muda wote, mwenzako nae anafika kileleni..au unakua unajiumiza tu huku mwenzako akivumilia umalize?
 
Back
Top Bottom