BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Unayajua mahaba niue wewe?
Ndicho kinachomsumbua huyu dada......
Akili zake zipo likizo, halafu wanaume wa namna hii wanajituma kweli kitandani baada ya hapo anaomba laki 8 ataacha kutoa?
Dada huyu inabidi ashtuke hilo gume gume linamtumia
Ndicho kinachomsumbua huyu dada......
Akili zake zipo likizo, halafu wanaume wa namna hii wanajituma kweli kitandani baada ya hapo anaomba laki 8 ataacha kutoa?
Dada huyu inabidi ashtuke hilo gume gume linamtumia
hapo dada una makosa mengi tu ya kiufundi
1. unamwazimaje mtu pesa nyingi kiasi hicho wakati hujui hata anakokaa
2. Unaendeleaje kumuazima wakati ya mwanzo hajakurudishia
3. Kwanini umwazime gari yako ikiwa hujui anakoishi . Je akifika kwao na akapata masahibu ya kuugua na pengine kupoteza maisha utaitress vipi gari yako.
4. Hata kama hakuugua basi je akiamua kutoroka na gari yako au akiitumia ktk uhalifu utaipataje.
5. Anataka muoaene jiulize kwa nini.
Ushauri wangu , usiwe mwepesi kuamini watu namna hiyo. Tena mshukuru Mungu kama hiyo gari amekurudishia . Halafu mtu ukitoka nae mara ya kwanza ukaona kajifanya kauzu kwenye kulipia gharama na wewe mara nyingine jifanye kauzu mbona simple tu. Tena ukiona amezidi ubahili jifanye huna pesa na tembo card umesahau halafu mkazie macho uone reaction yake. Mjini hapa kuna watu wanapenda vya bure mpaka basi.