Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 1,239
- 3,197
Kwa hizo akili za dada yako ata hizo 30M zitaisha bila yeye kujua zimeishaje aanze kula uji
Hii inasababisha baba mwenye mali akifariki na mali zinapotea.
Kijana wa miaka 15 anatakiwa ajue mali za familia na kama biashara anatakiwa ajifunze aambatane na baba yake.
Mwambie shemeji aache ujinga na akifa kila kitu kinaenda.
Ujinga ujinga tu umemjaa.
Sharia zitatumika endapo hapana wosia! Rejea TESTATOR VS INTESTATE in probate and administration of estate!Mwanaume wosia wake katika sheria ya mirathi ya uislaam hautozingatiwa
.. Akifa Mali zote watachukua watoto baada wake zote kupewa 1/8 ya Mali zote kama Hana mama mzazi. .
Ukewenza una vishindo.Kujua mali za familia ni muhimu ila huyo dada analeta upuuzi.
Huyo mume ameamua kwa kutumia matokeo ya jambo Fulani ambalo halijawekwa wazi.Hata sijui
Hapana mkuu sipo upande wakeKosa ni la dadaako anaanzaje kuwaza mambo ya mirathi na mume bado yuko hai???? Tena mbaya zaid anawamezesha mambo haya watoto wadogo miaka 15!!!!!! Dadaako hana busara kichwa ni bora umshauri ajirekebishe amuombe msamaha mumewe waendelee na maisha ila kamanaww unaona dadaako yuko sahihi na kaonewa basi naww kichwan una shida