Je, hili ni kosa katika ndoa?

Sasa ukisikia mwanaume..huyo shemeji yako ndio mwanaume halisi. Hapana kupuuzia mambo ya kijinga ya mwanamke. Piga chini baki na mwanamke mwenye busara. Huyo dada yake hajui maana ya kuwa mke.
 
Hii inasababisha baba mwenye mali akifariki na mali zinapotea.
Kijana wa miaka 15 anatakiwa ajue mali za familia na kama biashara anatakiwa ajifunze aambatane na baba yake.

Mwambie shemeji aache ujinga na akifa kila kitu kinaenda.

Ujinga ujinga tu umemjaa.

Kujua mali za familia ni muhimu ila huyo dada analeta upuuzi.
 
Mwanaume wosia wake katika sheria ya mirathi ya uislaam hautozingatiwa
.. Akifa Mali zote watachukua watoto baada wake zote kupewa 1/8 ya Mali zote kama Hana mama mzazi. .
Sharia zitatumika endapo hapana wosia! Rejea TESTATOR VS INTESTATE in probate and administration of estate!
 
Kosa ni la dadaako anaanzaje kuwaza mambo ya mirathi na mume bado yuko hai???? Tena mbaya zaid anawamezesha mambo haya watoto wadogo miaka 15!!!!!! Dadaako hana busara kichwa ni bora umshauri ajirekebishe amuombe msamaha mumewe waendelee na maisha ila kamanaww unaona dadaako yuko sahihi na kaonewa basi naww kichwan una shida
 
Jamaa safi sana kaona mbali sana, na kamfukuza sio kama hampendi dada yako nooo!! Anampenda sana ndo maana kaamua kumuepusha na kikombe ambacho angebakia basi damu ingevuja..
 
Kosa ni la dadaako anaanzaje kuwaza mambo ya mirathi na mume bado yuko hai???? Tena mbaya zaid anawamezesha mambo haya watoto wadogo miaka 15!!!!!! Dadaako hana busara kichwa ni bora umshauri ajirekebishe amuombe msamaha mumewe waendelee na maisha ila kamanaww unaona dadaako yuko sahihi na kaonewa basi naww kichwan una shida
Hapana mkuu sipo upande wake
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom