Trust nothing suspect everything my brother ooo! Kuna mdada siku moja alitamani ardhi ipasuke aingie na asirudi milele! Alipokea sms toka kwa mchumba wake inasema ivi 'Mwanangu uyu dem nimemchoka ile mbaya, natamani kumuacha ila dah kila siku ananitex kuwa ananipenda sana ingawa mara kibao namchunia ye haachi tu kunitext na kunicall'. Kumbe jamaa alikuwa anachat na rafiki yake bahati mbaya si akaituma kwenye namba ya mdada! WATCH OUT SANA MEN!!