Je hili linasababishwa na nini?

Je hili linasababishwa na nini?

Sasa hio si ndio tunayoiita roho mbaya ya wasichana sister, kamruhusuje sasa wakati mie nipo nae?

sasa hili walishaangaaje jamani.....wewe huoni mtu ni mke wa mtu na bado anatoka na wanaume wengine......
 
Last edited by a moderator:
Ok pole Mkuu....what I know love ni give and take theory inawezekana hatoshewi na anachopata or amepata sehem yanye afadhali....my take mchunguze ujue chanzo au chapa lapa mapema what I know girls wako strictly
 
Mie binafsi siamini kwenye mapenzi kuisha. Japokuwa natumia kichwa zaidi, nikiona dalili za kunyanyapaliwa najiongeza fasta hadi nikikuona tena sikumbuki jina lako.

Kwani huwa inakuwaje? Why does love have to end?
Kwa kuwa wanajisahau kuwa kupenda kunahitaji "kichwa" na "moyo" kwa pamoja...
 
Mie binafsi siamini kwenye mapenzi kuisha. Japokuwa natumia kichwa zaidi, nikiona dalili za kunyanyapaliwa najiongeza fasta hadi nikikuona tena sikumbuki jina lako.

Kwani huwa inakuwaje? Why does love have to end?

hahahahahahah, word! King'asti
 
Last edited by a moderator:
Ok pole Mkuu....what I know love ni give and take theory inawezekana hatoshewi na anachopata or amepata sehem yanye afadhali....my take mchunguze ujue chanzo au chapa lapa mapema what I know girls wako strictly

Asante mkuu imanihope, mpaka sasa hivi tayari nshamtia kwenye probation period...naskilizia kali before sijajipunguza mazima!
 
Last edited by a moderator:
Perhaps she's showing her true self. Mwanzo wa mahusiano wengi wanapretend sana, mda ukipota ndio huonyesha tabia halisi. Do you think she's cheating on you?
 
Perhaps she's showing her true self. Mwanzo wa mahusiano wengi wanapretend sana, mda ukipota ndio huonyesha tabia halisi. Do you think she's cheating on you?
Eli79 Sure,I probably thought about it earlier...As she began playing hard to get and all those unanswered missed calls and texts plus her phone being busy during the hours we normally used to be talking.As i asked they wasn't any real reason for that,all i got was a pathetic apology!
 
Hutoi matumizi mpaka akuombe. Na mimi nina mpnz mbahili hata mahitaji ya ndani nataka nimbwage.
 
Mpaka akwambie unikome mara tatu kisha amalizie kukipiga na mwiko kichwani?
 
Back
Top Bottom