Je hili linasababishwa na nini?

Je hili linasababishwa na nini?

Deeboyfrexh pole mkuu but ukimnyoosha unaweza kujikuta katika nyumba za serikali utulivu unahusika hapo .
 
Deeboyfrexh pole mkuu but ukimnyoosha unaweza kujikuta katika nyumba za serikali utulivu unahusika hapo .

Ndio awe na adabu tu, akinipokonya heshima yangu kwa dizaini hiyo lazma itakua al-kisas al-haq! guasa Sema uzuri huwaga wale jamaa hawapokeagi kesi za mapenzi
 
Last edited by a moderator:
Deeboyfrexh hata kutokubaliana pia ni makubaliano coz kama tabia yake ndo hiyo utageuka Mike Tyson sasa kama imeshindikana kunyooka bora mpeane mkono wa kwa kheri mapemaaa.
 
Nafikir sio investment tu ambayo ikifikia peak inaanguka . hata mapenzi yapo hivyo hivyo may be mtu atumie akili saana ya kumfanya mwenzake asimchoke.hata kwenye ndoa watu wanachokana but busara na akili hutumika zaidi kunusuru hali...
 
Back
Top Bottom