SM, Kama huduma hiyo unaithamini kiasi hiki, je wewe utamfundimha mwanao umalaya ili ahudumie wakware? Make mkuki kwa nguruwe........ Anyway, tatizo hapa ni maadili (ya kitanzania) kupotea. Kwani umesahau zamani vijana walifikisha miaka 30 bila kungonoana wakisubiri ndoa? Katika mazingira hayo UKIMWI hauenei sana. Leo hii Valentine day kijana lazima afanye ngono hata na mtu asiyemjua, eti anasheherekea kupendana! Zamani ukishafunga ndoa, funguo za talaka unameza na hazipatikani tena. Watoto wenye matatizo walilelewa na jamii yote kwa ushirikiano.
A MAN WITHOUT MORALS IS WORSE THAN A JUNGLE ANIMAL.