Je hili jambo lipo sawa. Na je angekua anafanya CHADEMA hivi si ingekua mapolisi washawakamata

B-2 STEALTH BOMBER

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
4,649
Reaction score
6,411

Yote haya ili kudanganya uma kuwa ana pendwa. Hatumuelewi wala hatufich.
Sheria zetu naamini pia haziruhusu kumpakiza binadamu kama bidhaa au mnyama. Hii sio sawa

Watanzania (watanganyika) wenzetu wamepoteza maisha pia kwa huu usafiri inasikitisha maskni anadanganywa akasikilize mipasho.
Afu nyie mod msifute huu uzi wala kuunganusha na uzi mwingine.

NO REFORMS NO ELECTION
 
Hatari hii haya kuna lori moja kimeanguka watu wamekufa
Screenshot_20250615-124118~2.png
 
View attachment 3373258
Yote haya ili kudanganya uma kuwa ana pendwa. Hatumuelewi wala hatufich.
Sheria zetu naamini pia haziruhusu kumpakiza binadamu kama bidhaa au mnyama. Hii sio sawa

Watanzania (watanganyika) wenzetu wamepoteza maisha pia kwa huu usafiri inasikitisha maskni anadanganywa akasikilize mipasho.
Afu nyie mod msifute huu uzi wala kuunganusha na uzi mwingine.

NO REFORMS NO ELECTION
Huyu dada aliyejirokodi ni mpumbavu mkubwa.
 
View attachment 3373258
Yote haya ili kudanganya uma kuwa ana pendwa. Hatumuelewi wala hatufich.
Sheria zetu naamini pia haziruhusu kumpakiza binadamu kama bidhaa au mnyama. Hii sio sawa

Watanzania (watanganyika) wenzetu wamepoteza maisha pia kwa huu usafiri inasikitisha maskni anadanganywa akasikilize mipasho.
Afu nyie mod msifute huu uzi wala kuunganusha na uzi mwingine.

NO REFORMS NO ELECTION
Sasa mtu amevimbiwa au amelewa kisungura ndio utuletee hayo matope? Hayo malori mbn hamyapigi picha mturushie, wakuda tu nyie wanaharamu
 
Back
Top Bottom