Je Hii Penalti Ataweza Kufunga Goli?

kipa keshatoka langni kabla ya penati kupigwa.................!!!!!!!!!!!!??? na refa haoni tu..........
 
naona mpigaji ameweka ndipo sipo (bunge halina mamlaka ya kujadili kutokana na zuio)
 
Na Asipo funga hapo hilo Goli atakuwa ameshindwa hiyo Mechi ya mpira Msamiati

Yaa! lakini pia ndio utakuwa mwisho wa mechi za kilaghai kama miaka yote unashindwa kuscore pamoja na kupata opportunity zote hizo, mashabiki tutachukua maamuzi tutaingiza mpira nyavuni hata kwa mikono. Hatuna Option kwenye ushindi safari hii, nilazima mpira uingie nyavuni, asipofunga huyo mwenye dhamana mashabiki tunaingia uwanjani, hah ha ha ah
 
Swala la ESCROW kujadiliwa kisiasa ndio ujue hakuna justice Tanzania. Na CCM ikichaguliwa tena mwakani mi naukana uraia wa Tanzania for good, maana siwezi kuwa raia wa nchi ambayo raia wake hawana kiu ya haki zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…