Zingatia yoooooote uliyoelezwa na wenzangu hapo juu, ikishindika nawewe mtambulishe kwa marafiki zako wooooooote wa nyuma.

Kwani tatizo liko wapi, au wewe hauna marafiki wa nyuma? maana amemwaga ugali nawewe mwaga mboga. Vinginevyo vumilia tu dada, ni mtoto akikua ataacha.
 

Kweli nilitaka nifanye hivyo(kumtambulisha kwa marafiki zangu wa nyuma) ila niko mbali sasa nikaona nitajisimbua bure. Na nikiwambia wanipigie simu naona ntakuwa nawapotezea pesa tuu. Hana utoto wowote ni jitu zima lilionza kuota mvi kwenye mavuzi. Hivi shorputs (short men) zina matatizo eeeh, au!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…