Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, hii ni kweli??

Discussion in 'Jamii Photos' started by Dr. Wansegamila, Oct 6, 2012.

 1. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,115
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  Hii ni maalum kwa wakwepa kodi jamani.......
   

  Attached Files:

 2. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 9,837
  Likes Received: 1,335
  Trophy Points: 280
  Hapo wameteleza,kodi zipo kwenye migodi zinawashinda kukusanya.
   
 3. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,665
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Na wanawake je? kodi haiwahusu? Tatizo la ajila za kupeana, huyo Marketing Manager ni kilaza kawadhalilisha wanawake.
   
 4. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,115
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  Teh teh teh..........!!! Kumbe na wewe umeliona hilo eeh??!!
   
 5. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo hili tangazo ni kwa makapera tu?!
   
 6. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 14,613
  Likes Received: 3,906
  Trophy Points: 280
  yale yale ya mwalimu ...wala rushwa....atachapwa viboko sita wakati wa kuingia na sita wakati wa kutoka akamuonyeshe mkewe!!......wanaume ndo wala rushwa tu!!!!!!!!!!!!!
   
 7. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,391
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  TRA wezi tu, kodi wanatukata sie wafanyakazi kwa kuwa wanazikata direct kwenye mishahara yetu, lakini wafanyabiashara wa nchi yetu wanapeta sana tena wafanyabiashara wa Kihindi ndo wanashirikiana na TRA kutuibia
   
 8. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 3,927
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Bado sijaelewa uhusiano wa kuoa na kulipa kodi!Msaada tafadhali wadau!
   
 9. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,904
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 10. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,104
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  nilivyoelewa hapa ni kwamba inakuwaje unapata pesa ya kutoa mahari, lakini kodi kulipa inakushinda. wabunifu kweli hawa ila ndiyo hivyo tena kodi hawakusanyi.
   
Loading...