Hebu tupe mfano mmoja na wengine waelewe unachoongea maana wengine wanamuona zoba
na wewe kachukue mkopo halafu fanya hivi
1. Akipeleka mchanga wewe peleka kokoto (ratio 1:1)
2. akipeleka cement wewe peleka maji na makoleo na mbao na nondo (1:2)
3. Akipeleka mafundi wewe peleka watoto shule na lipa kodi ya nyumba (1:4)
4. Akipeleka tofali wewe peleka cement, bati na mbao za kuezekea (1:3)
5. .................etc
6. Ikikamilika leta wakili andikishieni urithi watoto 2 mlio nao (hafurukuti mutu hapa)...
sijasema mshindane bali
Wanawake wapendeni waume zenu VS Wanaume ishini vizuri/kwa akili na wake zenu
Dah pole sana aisee!sio mfano, ni kweli kabisa, mamangu mzazi (RIP)alipewa kiwanja na aliyekuwa mumewe, hicho kiwanja kilikuwa na jina la huyo baba, mamangu akajenga nyumba pale, wala huyo baba hakutia senti tano yake pale, kilichotokea baada ya ile nyumba kukamilika, yule baba akamuambia mama tusihamie pale badala yake tupangishe coz tulikuwa tunaishi kwenye nyumba ya shirika by that time, nyumba ikapangishwa lakini kwa ufupi tu hatukuwa kutia mguu kwenye ile nyumba kwani yule baba alifariki na tulipojaribu kufuatilia ili tuhamie ndugu zake walisema ile ni nyumba ya ndugu yako, mama hakutaka makuu tuliwaachia, nyumba ipo hadi leo kila siku niendapo kazini lazima nipite pale coz iko barabarani tu, thats why simshauri huyu kaka kuchangia ujenzi ktk hicho kiwanja, yeye atafute kiwanja ajenge nyumba ya familia kwani hiyo nyumba haitakuwa ya familia ni ya mke wake, maybe achangie tu lakini asijihesabie
...tunaishi nyumba ya kupanga na kila mtu ana gari yake ya kwendea kazini...
poleni bestsio mfano, ni kweli kabisa, mamangu mzazi (RIP)alipewa kiwanja na aliyekuwa mumewe, hicho kiwanja kilikuwa na jina la huyo baba, mamangu akajenga nyumba pale, wala huyo baba hakutia senti tano yake pale, kilichotokea baada ya ile nyumba kukamilika, yule baba akamuambia mama tusihamie pale badala yake tupangishe coz tulikuwa tunaishi kwenye nyumba ya shirika by that time, nyumba ikapangishwa lakini kwa ufupi tu hatukuwa kutia mguu kwenye ile nyumba kwani yule baba alifariki na tulipojaribu kufuatilia ili tuhamie ndugu zake walisema ile ni nyumba ya ndugu yako, mama hakutaka makuu tuliwaachia, nyumba ipo hadi leo kila siku niendapo kazini lazima nipite pale coz iko barabarani tu, thats why simshauri huyu kaka kuchangia ujenzi ktk hicho kiwanja, yeye atafute kiwanja ajenge nyumba ya familia kwani hiyo nyumba haitakuwa ya familia ni ya mke wake, maybe achangie tu lakini asijihesabie
poleni best
we unafikiri kuishi na dada wa kichaga ni kama kuishi na mwanamke wa kizaramo au kimakonde sifagilii ukabila ila wanawake wa kichaga wengi wamesoma na wanatiming kali wanaona mbali either in a positive or negative way so akili zaidi inahitajika kuishi nao
Mkuu ktk mada hukuweka hayo wazi . Unajua kamwe usiige makosa ya wengine kwani kufa bila kujenga ni sifa njema , huoni kuwa hiyo ni failure. Sasa kama mlikua na mapatano na amevunja mapatano basi ni jambo jepesi tu kaeni myazungumze na ktk hicho kiwanja jadilianeni kubadili kidogo majina ya umiliki wa kiwanja kama vile waweza omba aongeze jina lako huku ukimweleza sababu za wewe kufanya hivyo. Mweleze kuwa ninyi ni binaddamu wakati wowote mwaweza kwazana ama kutofautiana na mambo yakawa ndivyo sivyo, hivyo ni bora mkaweka majina yenu wote ili nawe uwe na amani.wazo lilikuwepo cha ajabu kipi mbona kuna makamu wa rais mmoja hapa bongo alikufa bila kujenga tulipanga mwaka jana ndio tununue hicho kiwanja mwaka huu tuanze uenzi yeye achukue mkopo tununue kiwanja mimi nichukue tuanze ujenzi tatizo jina lake kwenye hati kwa kiwanja cha kwanza ndani ya ndoa ,sure natakiwa kurudisha ukichwa wa mwanmme
Mkuu mdukuzi nadhani point ya watu8 ilikuwa ni kutaka kujua ilikuwaje kununua gari wakati hujanunua kiwanja, maana yake ni kwamba kwa maisha ya sasa mwanaume huanza kununua japo kiwanja ndipo anaweza kununua gari. Na ndio maana anashangaa kwa sababu kama ungenunua kiwanja kabla ya kununua gari basi usingekuja hapa kulalamika, ungesonga mbele na maisha yako kwa kujenga kwenye kiwanja chako na hicho cha mkeo ungamuachia akiendeleze mwenyewe na ndugu zake.wakati tunaoana kila mtu alikuwa na gari yake ni gari yake ni vijigari vya bei rahisi na ni kawaida kwa dar es salaam si kila mtu mwenye gari ana nyumba labda kama unaishi mkoa tofauti na dar
Anaweza kuwa na dhamira njema lkn kama unasikia kitu cha tofauti moyoni mwako basi hakikisha mnaandika majina yote 2 ie lako na lakwake . Hii itasaidia huko mbele iwapo ikitokea mkatofautiana na kuamua kuachana manake maisha ya ndoa hubadilika wakati mwingine.haikatazwi mwanamke kumiliki mali mbona gari lina jina lake wala halinitishi mi hata daladala ntapanda incase sina hela ya mafuta au likiwa bovu,nyumba ni sensitive issue tena nyumba ya kwanza ndani ya ndoa pale ndio unapopatia usingizi wako tatizo sio kununua tatizo sjui dhamira yake
Hapa kama sielewi vile,
Yaani mwanaume mwenye korodani mbili, una mke na watoto wawili.
Badala ya kununua kiwanja unakimbilia kununua gari/magari.
Mwisho wa siku unakuja mbele yetu kulalama kuwa mkeo kaandika kiwanja kwa jina lake.
In short mkeo (ingawaje kakosa busara) kakuona huwezi kuchanganya akili yako vizuri.
asante shemeji ngapata shida mi mi chasaka1. Asante kwa kutupa sifa ya kusoma
2. Pole shemeji yangu, kila kitu kina faida na hasara zake, ungeoa bogaz ingekuwa balaa lingine. NOA kichwa ujue jinsi gani ya kuishi nae kwa AKILI. Ni jukumu lako kuishi na Mkeo kwa Akili.
3. HUONI KAMA HIYO NI CHANGAMOTO Kwako? kakufungua akili sasa.. mmeoana mna 5 years, bila bila... Though nahisi huenda hajui kama kakosea, ni vyema kuzungumza nae pia. Kila la kheri.
mtambuzi nakuheshimu na naheshimu mawazo yako ntayafanyia kazi nawashukuru sana wana jf nimeshapata solution kupitia michango yenu nilikosa usingizi kwa hili swala Mungu awabarikiMkuu mdukuzi nadhani point ya watu8 ilikuwa ni kutaka kujua ilikuwaje kununua gari wakati hujanunua kiwanja, maana yake ni kwamba kwa maisha ya sasa mwanaume huanza kununua japo kiwanja ndipo anaweza kununua gari. Na ndio maana anashangaa kwa sababu kama ungenunua kiwanja kabla ya kununua gari basi usingekuja hapa kulalamika, ungesonga mbele na maisha yako kwa kujenga kwenye kiwanja chako na hicho cha mkeo ungamuachia akiendeleze mwenyewe na ndugu zake.
Lakini hapajaharibika kitu na wewe kachukue mkopo ukanunue kiwanja fasta ili muende sawa.
sio mfano, ni kweli kabisa, mamangu mzazi (RIP)alipewa kiwanja na aliyekuwa mumewe, hicho kiwanja kilikuwa na jina la huyo baba, mamangu akajenga nyumba pale, wala huyo baba hakutia senti tano yake pale, kilichotokea baada ya ile nyumba kukamilika, yule baba akamuambia mama tusihamie pale badala yake tupangishe coz tulikuwa tunaishi kwenye nyumba ya shirika by that time, nyumba ikapangishwa lakini kwa ufupi tu hatukuwa kutia mguu kwenye ile nyumba kwani yule baba alifariki na tulipojaribu kufuatilia ili tuhamie ndugu zake walisema ile ni nyumba ya ndugu yako, mama hakutaka makuu tuliwaachia, nyumba ipo hadi leo kila siku niendapo kazini lazima nipite pale coz iko barabarani tu, thats why simshauri huyu kaka kuchangia ujenzi ktk hicho kiwanja, yeye atafute kiwanja ajenge nyumba ya familia kwani hiyo nyumba haitakuwa ya familia ni ya mke wake, maybe achangie tu lakini asijihesabie
Kutokana na kuulizahukuumeshaonyesha hofu. Si kwamba unamwambia twende kwa mwanasheria, unaanzaongea nae taratibu na kumshauri kuwa inabidi hati ibadilishwe muandikwe wote wawili. Point utakayompa ni kuwa kwa kuwa mtachangia wote ni vema tangu mwanzo mkaandika majina yenbu woite. Jamani Wanasheria msaidienihuyukaka, Maana kwa kweli mahusiano ya sikuhizi ni mtihani mkubwa! Na ninategemea unafanya kwa heri.nimekaa kimya sijaongea kitu na mkataba tayari umeandikwa na malipo yote yameshafanyika ,nahofia kwenda kwa wanasheria atatake it serious inaweza kuharibu mahusiano na akaanza kufanya mambo yake kisirisiri
hii statement yako inaonyesha wewe ndio mwenye matatizo.cha mume cha wote cha mke cha mke
Nia ya kustrugle kupoata hakihaimaanishi kubadili mfumo kutokakukandamiza mwanamke kwenda kukandamiza mwanaume. Sidhani kama nia ni kuona mwanaume anafukuzwa.Nia ni kuhakikisha wanasaidiana. Vivyohivyo kwakuwa wako kwenye ndoa hata suala lakuchukua mkopo nadhani angemshirikisha mumewe na property iwe ya familia. Namuelewa hofu yake kwa trend ya maisha ya sasa hivi. Kwani kuna ubaya gani basi kuandika kwa majina yao wote kwa kuwa effect ya mkopo ni kwa familia kwani hata kama mama kachukua mkopo yeye anapolipia mkopo pato la familia linapungua likewise kama baba ndiye aliyechukua mkopo. Nilivyoelewa mleta madahakujali mkekuchukua mkopo bali jina la kiwanja la mmpja wakatiyuko tayari kuchangia ujenzi.kwa maana hiyo mwanamke yeye kaumbiwa shida tu ndo mwenye kustahili kutimliwa na kubaki bila chochote? Hata mlalamike saivi wote 2napambana kuvitafta bana