LebronWade
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,615
- 1,510
izo ndo inferiority complex sasa! Kwanini mwanaume akiwa titled kwenye mali mwanamke awe huru kukitumia na mwanamke akiwa titled wanaume mnahisi mwanamke ana tamaa?? Vitu tumepewa tumiliki wote sio jinsia moja bana
tupo kwenye ndoa halali ya kanisani huu mwaka wa tano,
mimi na mke wangu wote ni wangu wote ni wafanyakazi na tumejaaliwa kupata watoto wawili ,tunaishi nyumba ya kupanga na kila mtu anagari yake ya kwendea kazini,mwaka jana mke wangu alichukua mkopo benki akataka kununua kiwanja ili tuanze ujenzi wa kibanda chetu,kilichonishangaza kwenye mkataba wa kuuziana hicho kiwanja aliandika jina lake
swali
je nichangie kwenye ujenzi wa nyumba hiyo?
je nani atakuwa mmiliki wa nyumba hiyo wakati makaratasi yana jina lake?
je hawezi kunifukuza kwenye nyumba hiyo siku mmoja ikizingatiwa anatoka kulee kwenye mlima mrefu kuliko yote afrika?
je nitapata amani ya ndoa kulala kwenye nyumba ambayo kiwanja kina jina la mke,usingizi upo hapo
Wewe tatizo lako nini mkifa hiyo ni mali ya watoto au watoto sio wa kwako? hapo future ni watoto sio nyinyi tena hata mkifia kwenye hiyo ya kupanga ni poa tu. Nyumba ikiisha mwambie mpangishe mlipie watoto ada na kama vipi na wewe chukua mkopo mjenge kwenye kiwanja chenye jina lako muwe nazo mbili si faida hiyo? akitaka kukufunga bao wewe sawazisha atasuzika na roho yake.
Mkopo kachukua mwenyewe, ataulipa mwenyewe. ....sasa akuandike jina kwenye kiwanja ili iweje?. Kama kila mmoja alivyo na gari lake.....nawewe kachukue mkopo ununue kiwanja chako.
Hilo la ndugu kurithi mali ya familia mbele ya watoto katika dunia ya leo na utandawazi wote huu mimi sijalijua bado; cha maana wewe sawazisha tu mabao atabana mwenyewei like it tatizo akitangulia yeye kwanza nduguze wakisema ni mali ya ndugu yao ?mwaka huu nina mpango wa kuchukua mkopo na mimi ninunue changu then ntaandika jina la watoto
Hapa kama sielewi vile,
Yaani mwanaume mwenye korodani mbili, una mke na watoto wawili.
Badala ya kununua kiwanja unakimbilia kununua gari/magari.
Mwisho wa siku unakuja mbele yetu kulalama kuwa mkeo kaandika kiwanja kwa jina lake.
In short mkeo (ingawaje kakosa busara) kakuona huwezi kuchanganya akili yako vizuri.
Wanaume wengine sijui mnaingia kwenye ndoa mkiwa mmepitia vyema mafunzo ya ndoa au mnakurupuka tu.
Tukio la kununua kiwanja cha kwanza kwa wanandoa huwa ni hatua moja kubwa sana na muhimu.
Sasa nashangaa na pengine wengine wanisaidie kushangaa kuwa mume huna taarifa zozote za namna mkataba ulivyoandikwa, hivi kweli hapa tatizo ni mke au ni wewe (umekiri hapo juu kuwa hukuongea chochote).
kawaida hiyo kwa mjini gharama za ujenzi ziko juu,kuliko magari kuna gari hadi ya milioni tatu,kutoka mbezi mpaka kariakoo kwa mwenye gari ni cheap kuliko anaye panda bodaboda mpaka kituoni na kumalizia na dalaldala asubuhi na jioni uliza kokotehuyo anajiita baba mwenye gar badala ya baba mwenyenyumba
Hilo la ndugu kurithi mali ya familia mbele ya watoto katika dunia ya leo na utandawazi wote huu mimi sijalijua bado; cha maana wewe sawazisha tu mabao atabana mwenyewe
tupo kwenye ndoa halali ya kanisani huu mwaka wa tano,
mimi na mke wangu wote ni wangu wote ni wafanyakazi na tumejaaliwa kupata watoto wawili ,tunaishi nyumba ya kupanga na kila mtu anagari yake ya kwendea kazini,mwaka jana mke wangu alichukua mkopo benki akataka kununua kiwanja ili tuanze ujenzi wa kibanda chetu,kilichonishangaza kwenye mkataba wa kuuziana hicho kiwanja aliandika jina lake
swali
je nichangie kwenye ujenzi wa nyumba hiyo?
je nani atakuwa mmiliki wa nyumba hiyo wakati makaratasi yana jina lake?
je hawezi kunifukuza kwenye nyumba hiyo siku mmoja ikizingatiwa anatoka kulee kwenye mlima mrefu kuliko yote afrika?
je nitapata amani ya ndoa kulala kwenye nyumba ambayo kiwanja kina jina la mke,usingizi upo hapo
asante kwa ushauri ila kumbuka anatoka mlima mrefu kuliko wote afrika( nasisitiza 0huwezi jua hiyo hati orijino itatunzwa wapi
Kaka nakuambia hivi,
Mwite mkeo, mkae kikao kitakatifu. Mwambie wazi kuwa ulistuka sana kuona hati kaiandika jina lake wala sio lako kwani weye ndiyo mume halali wa kumuoa.
Mwambie, sasa utaandika mkataba mwingine wa kukihalalisha kiwanja hicho kwa familia yenu. Akikubali jua ilikuwa nia njema tu kuandika jina lake.
Endelea na hatua ya kuhalalisha kiwanja ili weye uwe na amani wakati wa ujenzi. Akikataa kubadili mkataba kwa vyovyote vile basi, usimsumbue. Huyo ana nia zake nyingine. Tafuta nawe chako ujenge. Hata hivyo, jihadhari naye sana kama akikataa kubadili mkataba huo.