mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,312
- 56,011
tupo kwenye ndoa halali ya kanisani huu mwaka wa tano,
mimi na mke wangu wote ni wangu wote ni wafanyakazi na tumejaaliwa kupata watoto wawili ,tunaishi nyumba ya kupanga na kila mtu anagari yake ya kwendea kazini,mwaka jana mke wangu alichukua mkopo benki akataka kununua kiwanja ili tuanze ujenzi wa kibanda chetu,kilichonishangaza kwenye mkataba wa kuuziana hicho kiwanja aliandika jina lake
swali
je nichangie kwenye ujenzi wa nyumba hiyo?
je nani atakuwa mmiliki wa nyumba hiyo wakati makaratasi yana jina lake?
je hawezi kunifukuza kwenye nyumba hiyo siku mmoja ikizingatiwa anatoka kulee kwenye mlima mrefu kuliko yote afrika?
je nitapata amani ya ndoa kulala kwenye nyumba ambayo kiwanja kina jina la mke,usingizi upo hapo