Je hii ni halali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hii ni halali?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Jul 3, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Si kama unavyotaka ieleweke, meza tu imekuwa ndogo ikabidi iongezwe meza nyingine ndogo kuwekea vilivyozidi.
   
 3. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,713
  Likes Received: 1,893
  Trophy Points: 280
  mh nimecheka, hivi hapo wanakula au wanajikomoa?
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hiyo ni buffet.....kwani hamjakwenda kwenye 5 star hotel mkakuta kama hayo
   
 5. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Hata six star hotel sio hivo bana, Khaaaa! After first course vitu vinaondolewa then inaletwa main course then dessert. But sio hivo, yaani hadi chakula cha mlo wa jioni kishawekwa mezani., khaa
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  Sasa hapo niambie chakula gani cha jioni, au ndio wale wa ugali ni mchana na wali ni wa usiku. Umeshaenda huko 6 stars mchana mbona wanaweka mikate ambapo ni chakula cha asubuhi.
   
 7. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,932
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  .
  Huyo ndio MadameX kama MadameX

  Kwa maelezo zaidi soma signature ya MadamX
  .

   
 8. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimezipenda njugu mawe pale meza ya juu, nafikiri kulikuwa na sherehe ya kimila
   
 9. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  ya hapo naona wanafurahia kuviona tu
   
 10. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Ni halali, si wamemlipa huyo mazaa awapikie according to thier order.
   
 11. M

  MgungaMiba JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 28, 2011
  Messages: 891
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 80
  Hapana, huyo Maza ni Mjamzito, kwa hiyo kimila kuna vyakula vingi ni mwiko kwake kula, km akila mayai atazaa mtoto asiye na nywele nk kawekewa njugu mawe na humo mlimofunikwa mna matoke tu!
   
 12. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hela,msosi,starehe ni mapacha
   
 13. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2013
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Yaani si watapasuka lol
   
 14. SuperImpressor

  SuperImpressor JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2013
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 1,016
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hapa lazima tu ni mkoa wa mara na kama ni mara ni wilaya ya Tarime
   
 15. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2013
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Alionja alipokuwa akipika na atafaidi zaidi hao mibaba ikishajaa mitumbo yao after all hawawezi kula vyote hivyo.
   
 16. cds

  cds Senior Member

  #16
  Mar 1, 2013
  Joined: Oct 26, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  hapo wanapasha kwanza then jion ndo mulo wenyewe
   
Loading...