Je, hii ni haki? Is this just?

Je, hii ni haki? Is this just?

Mcqueenen

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
7,273
Reaction score
12,659
Hola amigos!
Alamsiki! Umelala usiku kabla usingizi haujaanza kukukaba unasikia sauti kama kwichikwichi dirishani,........ile kuangalia hivi unaona kifimbo chembamba kimepenyezwa dirishani polepole kimenasa suruali yako yenye ile walet iliyobeba ada za mwanao.

Kama paka! Unaamua kunyata na kutoka chumbani mwako kimya kimya unafungua mlango na kutoka, , , unaenda kuwaamsha vijana wako na wao kwa masharti yale yale ya kunyata kimya kimya. Kama wewe!

Mnafanikiwaa kutoka nje ya nyumba na kuzunguka ukuta upande wa dirisha lako. mnamkuta mchizi boti ameinamaa anatoa wallet kwenye suruali yako.

Mnamdaka! Mnamfunga kamba, mnaanza kumfinya pole pole. Mnampiga ngumi na mateke mpaka akili inamkaa sawa. Makofi ya kutosha, ngumi nzito nzito (Mojawapo ilifanikiwa kumtonesha jicho)

Mnamkuta kwa bahati nzuri alikuwa na Nokia kitochi mfukoni na alfutatu unusu (3, 500/=)!
Mnazichukua hizo vitu mnamsukuma nje ya geti mnamwambia tembea na yesu!!

Kesho jamaa anaenda hospitali anatibiwa fresh! baada ya siku 2 kabla vidonda havijakauka anaenda polisi kuwashtaki, anafungua na kesi mahakamani.

Kesi inafunguliwa. Mnaambiwa kwamba mna mkesi ya kumpiga mtu kwa lengo la kumuua (attempted murder case) na kesi ya pili mmeiba. Mmeiba kiasi cha shilingi 3, 500/= na simu ya Nokia kitochi.

Mr. Leonard Patrick(Mshtaki) anawashtaki kwa kosa la kumpiga kutaka kumuua na kosa la kumuibia.

Ameshakiri, kuwa yeye ana kosa la kwenda kuattemp kuwaibia (maana hakufanikiwa) na kuwaharibia dirisha lenu, na yuko tayari mahakama kumhukumu kwa makosa hayo.

Lakini na peye pia anawashtaki nyie kwasababu mlivunja sheria kwa kutaka kumuua na kumuibia.

Mahakamani mnaenda kujitetea kwamba ni kweli tulifanya hivyo, lakini tulifanya hivyo kwa kuwa alikuwa anataka kutuibia kiasi cha Millioni 2 na kadi za benki, na pia alivunja dirisha letu la kioo.

Mahakama inaamua kumfunga ndugu Leonard kifungo cha miezi 9 na faini ya laki 5 kwa makosa ya
1.Kujaribu kuiba (attempted theft)
2. Kuvunja mkono wa dirisha la kioo

pia inaamua kukufunga wewe mr. Joseph Ombowe kifungo cha miaka 15 na faini ya shillingi milioni moja kwa kosa la
1. Kupiga na kutaka kuua (Attempted murder)
2. Kuiba simu na hela. (polisi walitrace simu ya mwizi na kuikuta kwenu).

Je hiyo ni haki?

Kaka yangu yamemkuta hayo. Jana ametuaga kwenye simu.

(Sioni tofauti ya hii scenario na ile ya yule jamaa liyemkamata mgoni wake akamf***, akampakia KY.
Akaenda kushtaki yule jamaa akafungwa)

Je, hii ni haki? Is this just?
 
Hii dunia ni ngumu sana wewe ione hivihivi
 
Kama adhabu ya ku attempt murder ni miaka 15 na ku attempt wizi ni miezi 9 ni haki kabisa!
 
Walikosea sana kumuacha hai. Adhabu ya mwizi ni kifo maana japo alikuwa anajaribu ila ingetokea akahisi hatari kabla ya kudhibitiwa hashindwi kuua na yeye.

Naamini wanasheria watakuwa na muongozo zaidi katika hiyo kesi kupelekea kuachiwa kwa kaka yako.
 
Sasa wewe una 2M halafu unaichukua 3.5K ikusaidie nini?
 
Dah, kwahyo wananchi wanapopiga mwizi barabaran wanaweza wakashtakiwa na kufungwa?
Sio wanaweza wanashtakiwa na ikitokea wakaua wanashtakiwa kwa kosa la manslaughter na adhabu yake ni kifungo cha maisha. Ndugu yako kuhukumiwa kwa kosa la ku attempt murder ni haki kisheria japokuwa mtaani tunaweza ona ameonewa ila sheria ipo wazi.
 
Kisaruji ndio nini??
Simenti iliyo baki baada ya ujenzi kwani mnamkorogea kama uji halafu mnamnyesha kwa nguvu kama hataki mwenyewe na akiisha kunywa tu safari yake baada ya muda mfupi anaisoma namba
 
Damn, that's dark
 
Sio wanaweza wanashtakiwa na ikitokea wakaua wanashtakiwa kwa kosa la manslaughter na adhabu yake ni kifungo cha maisha. Ndugu yako kuhukumiwa kwa kosa la ku attempt murder ni haki kisheria japokuwa mtaani tunaweza ona ameonewa ila sheria ipo wazi.
Okay, tuweke sheria pembeni.
Lets talk about Morality.

Alichofanya jamaa kupiga mwizi, is it moral??
 
Back
Top Bottom